Chungu chachu tamu
New Member
- Dec 17, 2020
- 2
- 5
Salam sana
Ama baada ya salamu
Kumekuwa na kauli kuwa watu wengi wamekuwa wakijisahau sana majukumu yao baada ya kufunga ndoa na wapenzi wao. Kila upande huulalamikia upande mwingine kuwa wamejisahau sana.
MALALAMIKO YA WANAUME
Wanaume wamekuwa wakiwashutumu wanawake kubadilika sana katika ndoa hasa pale ambapo wamepata mtoto.
MALALAMIKO YA WANAWAKE
Kwa upande wa wanawake huwalaumu wanaume kuwa;-
Hayo ni baadhi ya mambo ambayo nimeyaona. Ila ninachotaka kufahamu kuwa ni NANI hasa wanaanza kuwapuuza wenzao pindi wawapo ndoani?
Au ni nani chanzo cha mabadiliko hasi ndani ya ndoa?

- Huwa bize sana na mtoto na mapenzi huhamia kwa mwana
- Hupuuzia mgegedo
- Hawajali tena muonekano mzuri hasa wa mavazi tofauti na enzi za uchumba
MALALAMIKO YA WANAWAKE
Kwa upande wa wanawake huwalaumu wanaume kuwa;-
- Wanajisahau sana katika kutunza familia
- Kutokumjali mwanamke tofauti na wakati wa upenzi na uchumba
- Game hupungu, kama alikuwa anapiga masaa mawili hushuka mpaka dakika 20