Hivi wanaume huwa mnapata nini kwenye matiti?

my name is my name

JF-Expert Member
Jan 12, 2015
2,017
2,384
Matiti yenyewe hata hayatoi maziwa lakini utakuta mtu anakazana kunyonya mpaka yanabadilika rangi yanakuwa mekundu mpaka unahisi maumivu hata watoto sidhani kama wananyonyaga mpaka wanawaumiza mama zao.

Hivi mnapata nini kwenye matiti ambayo hata hayatoi maziwa?

1623220969961.png

 
Back
Top Bottom