Hivi wanaume huwa mnapata nini kwenye matiti?

Papuchi maana yake ni ndala ilotoboka kwe kisigino, kwaiyo ukiivaa ni sawa na mtu alovaa singlendi, au kimini, unaweza kuita skin tight, lakini ni jeans mtelezo.

Ila ngoja financial services aje kufanya udadazivu kama ntakua nimekosea
Aisee haya maelezo yamekamilika kabisa😂😂
 
Dah kwahiyo unataka waache hilo zoezi? Wee waendelee tu kuna wanaopenda🏃‍♀️🏃‍♀️

Wakaka endeleeni tu achaneni na porojo za mtoa mada😛
Matiti yenyewe hata hayatoi maziwa lakini utakuta mtu anakazana kunyonya mpaka yanabadilika rangi yanakuwa mekundu mpaka unahisi maumivu hata watoto sidhani kama wananyonyaga mpaka wanawaumiza mama zao.

Hivi mnapata nini kwenye matiti ambayo hata hayatoi maziwa?

Aliyekwambia tunayokutana nayo hayatoi maziwa nani?? Sema yako labda ndo hayatoi maziwa
 
Una umri gani?tuanzie hapo kwanza...maana tusije hangaika kukujibu kumbe ni mwanafunzi wa form 3 yuko likizo😀😀
 
Back
Top Bottom