Hivi wanaume hatuwezi???

KakaKiiza

JF-Expert Member
Feb 16, 2010
11,578
8,600
Hivi wanaume tuliooa tukijivua gamba na kusema kucheat basi je nyie wanawake mjini patakalika?au wengi wenu mtatia huruma?Maana wasio oa kila mmoja anamtuwe!
 
kaka ukisema hivyo utafanya nimfate wangu had toilet maana magumegume yatakaa kama sumaku
 
Mhhhh kakaliza bana, kwa hiyo bila nyie waume za watu wasichana hawatapata wachumba zao wa saizi yao?
 
Hivi wanaume tuliooa tukijivua gamba na kusema kucheat basi je nyie wanawake mjini patakalika?au wengi wenu mtatia huruma?Maana wasio oa kila mmoja anamtuwe!
<br />
<br />

Kwanini muandikie mate wakati wino upo?
 
tatizo ni kuwa unajisi wa kimwili umegangamala sana sioni mwenye moyo wa kuthubutu hapo............labda kinachowezekana ni kuhalalisha ndoa za wengi................baada ya hapo waweza kufikiria kufuli la kudumu...............................vinginevyo tunajidanganya.............
 
wana ubavu huo....

Acheni mchezo na kuvua gamba nyie, wameshindwa waasisi wa huo msamiati pamoja na mikakati iliyowekwa kabla ya kulitangaza! Unaanzaje, labda kama huna moyo wa huruma na hautajari kuona wenzio wakitaabika mjini.
 
Mhhhh kakaliza bana, kwa hiyo bila nyie waume za watu wasichana hawatapata wachumba zao wa saizi yao?

Shantel!!!!

Hapo kuna ukweli kwani Dar wanawake wamekuja na style ya kuzaaa then hamtaki mume huyo ana lenga nini unataka kuniambia ataweza kucheza na serengetiboys kweli kumlea mwanae au si ndio kutembea na mume wa mtu au kutembea na bosi wake ne unakuta ana mke wake, % kubwa ya kina dada wantembea na waume za watu kwani hawapendi pressure za vijana hawajao bado.

Esp huko makazini just to mentioned the few areas, Law Firm/Hotelini /Bank office/Shopping Centers/Hospital/Office za Serikali/ nako huwa ni baraaaa wake na waume za watu wanapeana uroda usipaime ukichunguza ni kuwa wana miss vitu vidogo vidogo sana kwenye ndoa zao au kwa watu wao
 
eti bana....wafanye vitendo tuone.....

Preat !!!

teh teh teh teh imekutachi eeeeeeeehhhhhhh
Hapo si kuna kaukweli shosti si ukubali hata kwa kusema ni % watakumbwa na mtikisiko huo kama tukijivua magamba hayo
 
Jamaa angu umenifanya nifikirie sana maaana mpaka nkaanza kuwaonea hurruma mabint niliowahonga kama nisingefanya hivyo ijui kama wangekuwa wap sa hz
 
Jamaa angu umenifanya nifikirie sana maaana mpaka nkaanza kuwaonea hurruma mabint niliowahonga kama nisingefanya hivyo ijui kama wangekuwa wap sa hz
<br />
<br />
nani kakwambia huwa unawaonga peke yako...teh teh!,we mpotezee mwezi mmoja tuutawajua wenzio
 
Back
Top Bottom