Hivi wanasheria wa Tanzania wote ni vilaza? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hivi wanasheria wa Tanzania wote ni vilaza?

Discussion in 'Jukwaa la Sheria (The Law Forum)' started by carmel, Jan 14, 2011.

 1. carmel

  carmel JF-Expert Member

  #1
  Jan 14, 2011
  Joined: Aug 24, 2009
  Messages: 2,841
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Please take no offence, i am just suprised on what is happening in this country with issues concerning International contracts? We always loose as a result of failing to negotiate or being forced to enter into fake, or unfair contracts in most of the sectors. What is the problem?
  Ist it that we have bogus lawyers as well? are they all fake? aren't they learned as they claim to be?... and our universities..are they producing fake lawyers who understand nothing? where is pride they want us to believe that them lawyers have got?
  I am so ashamed, coz Tz is leading in this business of fake contarcts, loosing international cases, and so on. I challenge them through their association to re-think their profession, they are loosing credibility.
   
 2. kilimasera

  kilimasera JF-Expert Member

  #2
  Jan 14, 2011
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 3,073
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Sio wanasheria tu yaani wabongo wote ni vilaza hasa wataalamu tunasomesha maengeneer,madaktari,viongozi na watawala tena kwa fedha nyingi kupitia bodi lakini bado kila sekta ni matatizo tu na the end unakuta wote wanakua wezi tu jiulize mpaka sasa tanzania iianexport nini nje na ina import nini toka nje na hii serikali pesa inapata wapi yani wiziwizi wizi mtupu vilaza mpaka vyuo vikuu waalimu wanafikia stage ya kufagilia mafisadi sijui tunakwenda wapi!
   
 3. Kiraka

  Kiraka JF-Expert Member

  #3
  Jan 14, 2011
  Joined: Feb 1, 2010
  Messages: 2,550
  Likes Received: 612
  Trophy Points: 280
  Carmel ndugu yangu
  Its not that these learned bothers and sisters ni vilaza,,, NO
  The problem is they are selfish na UFISADI period, imagine REX ATTORNEYS advised Tanesco that its OK to break the DOWANS contract because it was void and illegal in first place (inherited from Richmond) - They pocketed some money in that consultation.

  They were hired to represent TANESCO in that case, I am sure they colluded with the benefactors!! - Pocketed 5bn from Tanesco

  We lost the case, few days ago they are advising TANESCO to pay hizo billions kwamba haikwepeki!!!

  Na ni kina nani hao?? Eti mmoja ni Balozi wa Tanzania sijui wapi...
  If I was the president... Naanza na hao na wengine wote ni shaba kwa kwenda mbele!!
  I wish this country was CHINA for just one month!!
   
 4. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #4
  Jan 14, 2011
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 22,446
  Likes Received: 5,833
  Trophy Points: 280
  ...............And the managing partner was made a high commisioner to Britain nad later ambasssador to the US
   
 5. l

  luluf New Member

  #5
  Jan 14, 2011
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 1
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  they are not,,ma2mbo tu
   
 6. carmel

  carmel JF-Expert Member

  #6
  Jan 14, 2011
  Joined: Aug 24, 2009
  Messages: 2,841
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  kwa maana nyingine njaa ndo kali?
   
 7. carmel

  carmel JF-Expert Member

  #7
  Jan 14, 2011
  Joined: Aug 24, 2009
  Messages: 2,841
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  This is a joke. nina uchungu yani naombe nipewe hii nchi kuiongoza hata kwa mwezi mmoja tu ndo watajua. (a dream so sweet oh lord)
   
 8. carmel

  carmel JF-Expert Member

  #8
  Jan 14, 2011
  Joined: Aug 24, 2009
  Messages: 2,841
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  na hao TANESCO wanashindwa nini kuwashtaki hao RX kwa kuwa mislead?
   
 9. Henge

  Henge JF-Expert Member

  #9
  Jan 14, 2011
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 6,762
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 145
  Mi sina cha kusema haya matusi yoote unajua ni mambo ya USHIKAJI NA UJOMBA.
   
 10. carmel

  carmel JF-Expert Member

  #10
  Jan 14, 2011
  Joined: Aug 24, 2009
  Messages: 2,841
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  kwa hiyo hapa nchini kila mtu hayuko serious, kuna sababu yoyote ya kungojea maendeleo?
   
 11. carmel

  carmel JF-Expert Member

  #11
  Jan 14, 2011
  Joined: Aug 24, 2009
  Messages: 2,841
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Nadhani pia ni kukosa uzalendo ndo kumetufikisha hapa
   
 12. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #12
  Jan 14, 2011
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Hata angekuwa ni Mwanasheria wa kutoka kuzimu, kesi ya Dowans isingeshindika. Simpo, wameleta mitambo, imejaribiwa, ina fanya kazi.

  Dowans bila mkataba wangeleta mitambo? Hakuna kitu kinaitwa kurithi mkataba, wanaorithiwa ni wafiwa tu.

  Mkataba ni baina ya Dowans na Tanesco, kama Tanesco walisitisha mkataba kwa kufata wanasheria huo ni upuuzi na ujinga wa Tanesco, unakwenda kwa mwanasheria unamuuliza nivunje nsivunje? Kama mchezo wa kitoto, unategemea mwanasheria atakuambia nini? Naye atakupa majibu kama mchezo wa kitoto, vunjaa? Hapana atakupa option mbili, eeh bwana ukivunja mkataba itakuwa hivi na ukiendelea nao itakuwa hivi. Hakuna mwanasheria atakwambia vunja halafu yakikukuta umlaumu yeye. Na tuonyesheni ni wapi REX waliwashauri Tanesco wavunje tu mkataba, haiingii akilini.

  Tanesco na yeyote alie nyuma ya pazia ya maamuzi ya Tanesco ndie wanaotuweka kwenye hiki kiza mpaka leo. Sidhani shirika kubwa kama la Tanesco halina ubunifu wa kuweza kuweka umeme sawa mpaka washauriwe na wanasiasa au mawakili. Na kama ni hivyo, basi watoa maamuzi wa Tanesco wote hawafai. Dawa ya Tanesco ipo njiani inakuja.
   
 13. hashycool

  hashycool JF-Expert Member

  #13
  Jan 14, 2011
  Joined: Oct 2, 2010
  Messages: 5,899
  Likes Received: 442
  Trophy Points: 180
  If I was educated, I`d be a damn fool.
  bob marley
   
 14. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #14
  Jan 14, 2011
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 22,446
  Likes Received: 5,833
  Trophy Points: 280
  Dear Idiot,

  Who ordered TANESCO
  1. To enter the contract with DOWANS
  2. To seek legal redress from REX ATTORNEYS
  3. To pay REX ATTORNEYS 5bn/-
  4. Eventually making one partner an Ambassador?
  5. Appointed Dr Rashid MD
   
 15. Kunta Kinte

  Kunta Kinte JF-Expert Member

  #15
  Jan 14, 2011
  Joined: May 18, 2009
  Messages: 3,660
  Likes Received: 215
  Trophy Points: 160
  Hawataweza, kumbuka mmoja wa shareholders alipewa ubalozi baada ya huo ushauri, unadhani mkuu kabisa atakuwa hausiki hapo?
   
 16. Mtumishi Wetu

  Mtumishi Wetu JF-Expert Member

  #16
  Jan 14, 2011
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 4,981
  Likes Received: 425
  Trophy Points: 180
  Ndg Zomba ebu tujuvye hiyo dawa ni ipi, maana watu tunakufa ili tuzuie kiliko kungoja tuishie wote!!
   
 17. BRUCE LEE

  BRUCE LEE JF-Expert Member

  #17
  Jan 14, 2011
  Joined: Dec 11, 2010
  Messages: 2,088
  Likes Received: 1,157
  Trophy Points: 280
  sio vilaza bali ni waathirika wa ujinga,ubinafsi na uchoyo wa asili uliopo kwenye dam zam zao.
   
 18. Ngambo Ngali

  Ngambo Ngali JF-Expert Member

  #18
  Jan 14, 2011
  Joined: Apr 17, 2009
  Messages: 3,194
  Likes Received: 134
  Trophy Points: 160
  Very much so all this is a reflection of the society. Do not take lawyers in isolation watanzania wote kuanzia viongozi wanaong'ang'ania kulipa dowans mpaka mpiga kura anayehongwa Tshirt kanga na kofia ili achague uozo.
   
 19. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #19
  Jan 14, 2011
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Dawa ni moja tu, kuiletea Tanesco ushindani kama ilivyokuwa kwa TTCL!
   
 20. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #20
  Jan 14, 2011
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Yes dullard:

  1) No one.

  2) Tanesco.

  3) where is the proof?, even if paid, its their right, you wanted to use them for free? like what you did to Dowans? you'd end up paying from your bottom for wanting of free things.

  4) That is none of your business, do you envy her?

  5) Rashid opposed to this and that's why he resigned, Rashid wanted to buy the so called generators, have you forgotten, dullard? as if you didn't know.
   
Loading...