Hivi wanaooga kwenye swimming pools hawakojoi mule? Kiafya ipoje?

Hata juzi tarehe 1 mahala flani tukiogelea akaingia jimama mmoja mnene kweli akaingia kuswim

Alijamba Mara 7 kwa sauti kabisa ndani ya maji kwasbb nilihesabu mpk nikasimamisha halafu anacheka tu sijui alikula nini

Kila akifanya hivyo bubbles zinapanda juu kama vile kiboko kapumua na pua

Sent using Jamii Forums mobile app
mkuu wewe, au ni moja ya refreshment, mtu akifanya hivo anaenjoy mwenyewe dah.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwenye kinyaa kama mimi hawezi kuogolea kwenye pool na hayo ma chemical wanayoyaweka kuna wengine zina react kwenye ngozi zao kama my baby mama anavimba na kuwa mwekundu kama kapigwa usoni lakini hakomi dadeki.
 
Kuna jamaa mmoja niliwahi kumsikia kwenye njia panda, alisema wengine Hua wanaweka dawa fulani ambayo mtu akikojoa maji yanabadilika rangi pale tu mkojo wake unapokutana na maji na hivyo ni rahisi mhusika kuonekana.. Tatizo ubahuli au kutokujali kwa wamiliki wengi wa hizo swimming pool ndio maana watu wanaogelea na kila aina ya uchafu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom