Hivi wanaooga kwenye swimming pools hawakojoi mule? Kiafya ipoje?

Hata baharini pia mkuu, nimeskia Kinyaa sana, hadi magogo yanakatwa humo aargh, kuna watu si wastaarabu kabisa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Maji huwa yanatabiwa na madawa mbali mbali kila siku na kunakuwa na mtu special kabisa kwa ajili ya kazi hiyo. Na analipwa mwisho wa mwezi, tena hela si ndogo.

Yaani hiyo kazi ni professional kabisa watu husomea.
Huko baharini kuna uchafu wa kila aina chemba za mavi mpaka mizoga ya watu waliozama na tunaogelea mbona uhoji.
 
Hata juzi tarehe 1 mahala flani tukiogelea akaingia jimama mmoja mnene kweli akaingia kuswim

Alijamba Mara 7 kwa sauti kabisa ndani ya maji kwasbb nilihesabu mpk nikasimamisha halafu anacheka tu sijui alikula nini

Kila akifanya hivyo bubbles zinapanda juu kama vile kiboko kapumua na pua

Sent using Jamii Forums mobile app
Aisee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kipoje mkuu mana ninayo tayr soft copy..nataka nisome vyote viwili
Ni kitabu kizuri sana Mkuu, ni cha business kama kilivyo Rich Dad Poor Dad, Mimi nilikisoma mwaka 2016 - 2017 kinakupa precautions kabla ya kufanya maamuzi aidha ya Kuquit nafasi flan ya kazi au biashara ama kuendana na mabadiliko yanayotokea katika kampuni unayoifanyia kazi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom