Hivi wanaooga kwenye swimming pools hawakojoi mule? Kiafya ipoje?

Kwa wenzetu kuna baadhi ya maeneo ambayo yamestaarabika, ukikojoa tu basi mkojo una react na kemikali iliuowekwa inageuza hapo hapo rangi ya maji ulipokojoa kuwa rangi fulani i.e kijani, bluu n.k
Na haiishii hapo hizo rangi zinakufata nyuma unavyoogelea na hii hupelekea kila mtu kupata fursa ya kumwona kikojozi wa kwenye swm pool.😁😁😁
 
Hawajui....hata vile vibomba pembeni nahisi hawaonagi...na kile kinachokuwaga katikati cha kutolea maji au hata swimming pool hawajai kwenda wapo kutusumbua tu hapa

Nadhani wanabadilisha maji mara 1 kwa mwaka au mara 2 hiv kama sikosei! Mkishaoga yakipunguwa huwa wanayaongezea halafu wanatia chlorine ana dawa zenye chlorine kuua vijidudu viletavyo maradhi!

Nilikuwa mpenz wa kuogelea mzuri saana kabla ya sasa kuzidiwa kidogo na mambo kadhaa!
 
Back
Top Bottom