Hivi wanaocheza sinema za ngono hawana ndugu

Maghayo

JF-Expert Member
Oct 5, 2014
13,596
28,673
Habari za jumapili.

Cha kustaabisha hizi sinena za ngono zinaangaliwa Na mabilioni ya watu duniani. Hivi hawa watu hawana ndugu? Unakuta mama mzima vibibi vizee mibaba inacheza. Kuzini sawa mtu unagegeda mafichoni huko gesti ama chumbani ama faraghani. Lakini hawa watu wamejtoa ufaham kabisa Na hawana mshipa was aibu. Wee angalia tu mtu akikojoa hadharani anavyojifisha kwa aibu.

Unakuta Hadi sasa hivi baadhi ya walemavu hata wale waliokatwa miguu Na mikono nap wanacheza X. Watu way sodoma wakifufuliwa sasa hivi watamuambia Mungu kawaaonea.
 
Wanao ndugu na wengine ni waume na wake za watu.
Kuna mmoja kaolewa na dereva tax, anakwambia akiwa na mumewe ndipo anafika kileleni akiwa kazini hafiki kileleni maana anakuwa hana affection na yule anayecheza naye na mara action cut, muda wote anakuwa yuko attentive kusikia direct atamwelekeza nini, hivyo basi anakuwa anaigiza tu.
 
Unajisikiaje siku anakuwa na watoto wakaja mwona mama yao anavyopigwa mti
Au mi kaka halafu namwona dada yangu analiwa kiboga na mtulinga wa deshee
 
Wanao ndugu na wengine ni waume na wake za watu.
Kuna mmoja kaolewa na dereva tax, anakwambia akiwa na mumewe ndipo anafika kileleni akiwa kazini hafiki kileleni maana anakuwa hana affection na yule anayecheza naye na mara action cut, muda wote anakuwa yuko attentive kusikia direct atamwelekeza nini, hivyo basi anakuwa anaigiza tu.
Mmmhh!!, hii ngumu kumesa.
 
Wapo ambao wanafanya bila kupenda ,human trafficking


Kuna wa Mexico wanawateka watu na kuwaingiza kwenye malori ya mizigo na kuwapeleka border mexico haswa watoto Hawa ndio wanawachezesha filamu za ngono ,inasemekana human trafficking kwa wiki kama watu 30,000 husafirishwa


Wapo wanaopenda na wamekuwa maarufu na wana official account kwenye mitandao


Kwanza jiulize giggy money kuvaa chupi na kutingisha makalio yake na kuchezewa chezewa hana ndugu ,tena kwa jamii hii ya TZ kidogo kuna haya


Sembuse huko nje
 
No wonder Ubinafsi unapigwa vita sana hata ndani Ukristo ubinafsi ni kati dhambi zilizotajwa.
Ukishakuwa mbinafsi kamwe huwezi kuwa mpana katika maono na fikara. Mbinafsi hujiona yeye tu wala hafikirii wengine.
Hao unao waingelea wanafanya yote hayo kwa sababu ya Ujasiri wa Kibinafsi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom