Hivi wanaCCM kuhudhuria mikutano ya CDM kwa wingi , kisingizio nini?Au ndio rohoni ni CDM?

Nicholas

JF-Expert Member
Mar 7, 2006
25,260
7,195
Hivi wanaCCM kuhudhuria mikutano ya CDM kwa wingi , kisingizio nini?Au ndio rohoni ni CDM?

Au walidanganya wengine wanakuja mfanyia hujuma?Nakumbuka mdingi mmoja alichelewa kuzaa sana..Sasa baada ya bilicanas kuruhusu watu wengi kuingia dogo akaanza toroka home na kwenda.Wazazi wake ni wazee sana na kil amara walikuwa akimhurumia sana na kupata wasiwasi km mtoto wao yupo salama huko alipotorokea.Dingi akatafuta kwa marafiki akatonywa kijana yupo disco Billicanas.Mzee akaingia na kulipa kiingilio ..alipoingia ndani akamstua mtoto kuwa yupo ila asitoke bila mwambia.mzee akaa muda wa kutosha, na kumgeuza mtoto km gia ya kwenda tena na kuchelea siku hiyo.Walipotoka akamwambia dogo amemuhurumia kwa vile yupo na marafiki zake ,ila asiende mwambia mama kuwa dingi naye alipata kinywani ndani.

Soon mzee ikawa mchezo.Sijui maccm hizo ndizo zao?
 
Wana CCM walio wengi wanaipenda CDM. Wanaoichukia CDM ni wale mafisadi wachache watawala. Ninajua CDM haina ugomvi na wana CCM isipokuwa inawashangaa tu kwa nini bado wanaendelea kuwemo CCM na kuwaenzi mafisadi.
 
Wana imani haba..wanaumia kimya kimya kwa kukosa ujasiri wa kuiacha CCM.Wanafikiri pengine CCM itafufuka au itaiba kura na kuja revange,
 
Duh, ni kweli mkuu, wanaccm wengi moyoni ni chadema! Niliwahi kumuona kiongozi mmoja wa ccm akimsifia dr. Slaa kwenye kijiwe!
 
Wengi wao ni wale wanao formulate fujo kwenye mikutano ya cdm na kupandikiza chuki kwa wafuasi wa cdm dhidi ya viongozi wao.Kwa jina lingine wanaitwa kirusi ndani ya mikutano ya cdm. Kuwa makini nao
 
Tunaomba mtuwekee picha za KAKONKO Pleeeeeaaaaaaaaaaaaasssssssssseeeeeeee....... msipotezee mada
 
WanaCCM wote wanakichukia CDM sawa na wanavyomchukia Shetani!

Sababu zake,
Ukabila uliyokubuhu,

Udini uliyopitiliza,

Umangimeza wa kutupwa,

Uchaga uliowaziwazi!

Ulaghai wa CDM,

Ulafi na Uchu wa Madaraka wa Mbowe,

Siasa za majitaka! Full stop
 
Wana CCM walio wengi wanaipenda CDM. Wanaoichukia CDM ni wale mafisadi wachache watawala. Ninajua CDM haina ugomvi na wana CCM isipokuwa inawashangaa tu kwa nini bado wanaendelea kuwemo CCM na kuwaenzi mafisadi.

Wapo CCM ili biashara zao, ambazo nyingi ni haramu ziweze kwenda. Lakini moyoni wanaichukia kama mavi. Hata mimi nina kadi yao, na pale kata wananijua mimi ni CCM mwenzao.
 
mleta mada ufinyu wako wakufiri ndio mazarayake haya.mwanaccm kwenda kusikiliza yanayoongelewa na cdm mkutanoni niwajibu wake.nanimuhim sana kwake.maana anapata kusikia sera za cdm,mwanasiasa mzuri lazima apende kumsikiliza hata yule mpinzani wake anasema nini.

niutofauti wavijana wengi hatutaki kuisikiliza ccm kwenye mikutano yao.nandio maana mda mwingi wanavyo potosha wananchi ktk mikutano yao sisi tusio ipenda ccm hatuna lakuelezea ndani ya jamii zetu

Upinzani sio ugomvi,tupendane wanaccm,wancdm,wanacuf navyama vingine vyote,tupingane kwasera.tusiache kupendana tanzania na wananchi tunaopenda kuwatumikia wanasiasa niwamoja.

Tanzania kwanza chama badae.
 
Back
Top Bottom