Nicholas
JF-Expert Member
- Mar 7, 2006
- 25,260
- 7,195
Hivi wanaCCM kuhudhuria mikutano ya CDM kwa wingi , kisingizio nini?Au ndio rohoni ni CDM?
Au walidanganya wengine wanakuja mfanyia hujuma?Nakumbuka mdingi mmoja alichelewa kuzaa sana..Sasa baada ya bilicanas kuruhusu watu wengi kuingia dogo akaanza toroka home na kwenda.Wazazi wake ni wazee sana na kil amara walikuwa akimhurumia sana na kupata wasiwasi km mtoto wao yupo salama huko alipotorokea.Dingi akatafuta kwa marafiki akatonywa kijana yupo disco Billicanas.Mzee akaingia na kulipa kiingilio ..alipoingia ndani akamstua mtoto kuwa yupo ila asitoke bila mwambia.mzee akaa muda wa kutosha, na kumgeuza mtoto km gia ya kwenda tena na kuchelea siku hiyo.Walipotoka akamwambia dogo amemuhurumia kwa vile yupo na marafiki zake ,ila asiende mwambia mama kuwa dingi naye alipata kinywani ndani.
Soon mzee ikawa mchezo.Sijui maccm hizo ndizo zao?