Ng'wanangwa
JF-Expert Member
- Aug 28, 2010
- 10,827
- 4,172
Yote tumeona yaliyotokea.
Historia imeandikwa.
Kumbe uwepo wa CUF,UDP,NCCR,TLP,na vipanya vingine ulikuwa mchezo wa CCM kuidanganya dunia kuwa kuna demokrasia ya vyama vingi. Ukweli tumeujua. Utitiri wote wa vyama hivi ni matawi ya CCM. Kwa ajili ya kupotosha umma.
Lakini katika upotoshaji huohuo, hasa upande wa CUF wapo waliodhani ni kweli. Wakaapa kuwa wao ni CUF. Wengine hata walipoteza maisha (rejea ya Zanzibar). Leo hii viongozi wao wanawasaliti. Wanaungana na chama chenye serikali iliyoamrisha polisi wawafyatulie risasi za moto ndugu zao.
Swali langu ni kwa hawa wana-CUF watiifu kwa chama chao. Wametapeliwa. Wamehadaiwa.
Wana msimamo gani?
Au waliyajua haya?
Nawasilisha.