Hivi wana chit chat nimewakosea nini?

Ralphryder

JF-Expert Member
Nov 16, 2011
4,933
1,294
Kwa nini hamnipendi! nikichangia mada mnanitoa nduki! ni oppose motion ndio balaa! jamani basi kama nimewakosea naomba poo!
 
Shida yako ni moja tu.
Wewe hutaki kutajataja majina ya watu wa chit-chat. Hilo ni kosa kubwa kiufundi.
 
Shida yako ni moja tu.
Wewe hutaki kutajataja majina ya watu wa chit-chat. Hilo ni kosa kubwa kiufundi.
Hahahaha!

Mnataja taja majina tuuu tena kwa mistari isiyo na vina source:Afande Sele lol!

PakaJimmy shikamoo! Afu useme sijakutaja.
 
Last edited by a moderator:
Shida yako ni moja tu.
Wewe hutaki kutajataja majina ya watu wa chit-chat. Hilo ni kosa kubwa kiufundi.

pj unatafuta nini huku? Sasa kama hawataji inakuwaje wanamtoa nduki (source yeye mwenyewe). Jina lenyewe kama kifanyio, nikikutwa na hazbend nalitaja si atajua nilikywa naagizisha?
 
pj unatafuta nini huku?
Sasa kama hawataji inakuwaje wanamtoa nduki (source yeye mwenyewe). Jina
lenyewe kama kifanyio, nikikutwa na hazbend nalitaja si atajua nilikywa
naagizisha?

Ahaaaa! nshajua! nafuta id yangu nakuja na "Slow motion" vipi hiyo inalipa?
 
pj unatafuta nini huku? Sasa kama hawataji inakuwaje wanamtoa nduki (source yeye mwenyewe). Jina lenyewe kama kifanyio, nikikutwa na hazbend nalitaja si atajua nilikywa naagizisha?
Bwanako si atajua UNAJALI!
Au huwa unamfanya ajiulize "TUKO WANGAPI!"
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom