Ralphryder
JF-Expert Member
- Nov 16, 2011
- 4,933
- 1,294
Kwa nini hamnipendi! nikichangia mada mnanitoa nduki! ni oppose motion ndio balaa! jamani basi kama nimewakosea naomba poo!
Hamna cha poo wala pooh! Kwanza nakudai salamu za besdei wewe.
Hahahaha!Shida yako ni moja tu.
Wewe hutaki kutajataja majina ya watu wa chit-chat. Hilo ni kosa kubwa kiufundi.
Shida yako ni moja tu.
Wewe hutaki kutajataja majina ya watu wa chit-chat. Hilo ni kosa kubwa kiufundi.
Shida yako ni moja tu.
Wewe hutaki kutajataja majina ya watu wa chit-chat. Hilo ni kosa kubwa kiufundi.
Haya pokea salamu zangu with open heart! ukue uwe kama mbuyu! Naomba poo!
pj unatafuta nini huku?
Sasa kama hawataji inakuwaje wanamtoa nduki (source yeye mwenyewe). Jina
lenyewe kama kifanyio, nikikutwa na hazbend nalitaja si atajua nilikywa
naagizisha?
yaalah! Staki salamu
zako. Hapa tu niko kama nyumba ya ghorofa, mbuyu na miw nataka kugombea
umiss?
Toka huko!kwenda huko
Bwanako si atajua UNAJALI!pj unatafuta nini huku? Sasa kama hawataji inakuwaje wanamtoa nduki (source yeye mwenyewe). Jina lenyewe kama kifanyio, nikikutwa na hazbend nalitaja si atajua nilikywa naagizisha?
Umekosea.PAKA JIMMY EEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE! Haya sema jingine!
Bwanako si atajua UNAJALI!
Au huwa unamfanya ajiulize "TUKO WANGAPI!"
miss korongoni. Why unawaza udenda, wife mjamzito?Miss? Miss wapi? Miss udenda or!?