Azarel
JF-Expert Member
- Aug 25, 2016
- 26,053
- 33,906
Habarini Wadau,
Mods sina lengo la kukashifu imani/dini ya watu bali kukemea na kurekebisha.
Eti wanasema "Uchungaji au Uinjilisti ni Kipawa/Karama" hivyo haina haja ya kusomea miaka kadhaa darasani kama walutheri ktk Uchungaji na wakatoliki katika Upadri wanavyosoma for some years.
HIVI, Kwa dunia ya leo utasimamaje Madhabahuni na kuongea vitu visivyo na LOGICS AND FACTS mbele ya Wasomi?
Utumishi sio kukariri tu mistari ya biblia bali kuhubiri ukweli na uhalisia wa maisha hivyo SHULE NI MUHIMU, Acheni ujinga na upuuzi ktk hili.
◆ Wanawake walokole feki hivi mtaacha kudanganywa lini?
Mifano:
◆ Mtu anasema anafufua wafu halafu mnamwamini. Je aliwahi fufua kweli mkashuhudia?
◆ Mtumishi yeye anatembea na walinzi mabaunsa zaidi ya wanne halafu eti anakuombea ulinzi wa Mungu. yeye haitaji huo ulinzi wa Mungu?
◆ Watumishi wanaweka kabisa viwango vya sadaka vya ninyi kutoa na mnawaogopa kuliko hata waume zenu eti mnawaita Manabii.
Sio Bure wengine wanawaita Walokole ni "VICHAA" kwani hawajitambui kabisa.
Ni kama wanaoamini waganga tu.
Nimeamini Wajinga ndio waliwao.