Hivi Walokole feki (Hasa Wanawake) mtapata lini akili juu ya haya? Jirekebisheni.

Azarel

JF-Expert Member
Aug 25, 2016
25,856
33,463
Habarini Wadau,

Mods sina lengo la kukashifu imani/dini ya watu bali kukemea na kurekebisha.

Eti wanasema "Uchungaji au Uinjilisti ni Kipawa/Karama" hivyo haina haja ya kusomea miaka kadhaa darasani kama walutheri ktk Uchungaji na wakatoliki katika Upadri wanavyosoma for some years.

HIVI, Kwa dunia ya leo utasimamaje Madhabahuni na kuongea vitu visivyo na LOGICS AND FACTS mbele ya Wasomi?

Utumishi sio kukariri tu mistari ya biblia bali kuhubiri ukweli na uhalisia wa maisha hivyo SHULE NI MUHIMU, Acheni ujinga na upuuzi ktk hili.

◆ Wanawake walokole feki hivi mtaacha kudanganywa lini?

Mifano:

◆ Mtu anasema anafufua wafu halafu mnamwamini. Je aliwahi fufua kweli mkashuhudia?

◆ Mtumishi yeye anatembea na walinzi mabaunsa zaidi ya wanne halafu eti anakuombea ulinzi wa Mungu. yeye haitaji huo ulinzi wa Mungu?

◆ Watumishi wanaweka kabisa viwango vya sadaka vya ninyi kutoa na mnawaogopa kuliko hata waume zenu eti mnawaita Manabii.

Sio Bure wengine wanawaita Walokole ni "VICHAA" kwani hawajitambui kabisa.

Ni kama wanaoamini waganga tu.

Nimeamini Wajinga ndio waliwao.
 
Tena kwa hili naomba hata Rais awake mfumo wa makanisa nayo yalipie kodi maana sasa hivi kuna utitiri wa makanisa huku watu ndio wameona uchochoro wa kupigia fedha, yaani asiangalie ile kauli ya kaisari mpe kaisari ila nayo yanapaswa kuchangia taifa kwanza serikali ya Tanzania haina dini.
Kabisaa halafu hayo makanisa mengi yanajazana tu mijini, hapa na hapa, kwanini wasipeleke injili vijijini?

Mchungaji wao ni yeyote tu anayeweza kukariri mistari ya biblia na mbinu ya kushawishi watu wawe waumini wake, hawasomei kabisa.
 
Miaka hii kuwa mchungaji ni miongini mwa ujasiriamali tu kama ulivyo ujasiriamali wa kuuza viazi na michele

Na bahati mbaya ukiwafatilia hawa the so called wachungaji ni matajiri 'kinyama'

Mbaya zaidi sisi 'wapendwa' huwa tunaishia kutoa vijipesa vyetu kwa ajili ya huduma fulani fulani
 
Katika watu wa ajabu na wajinga ni hao waumini wa hao matapeli.
 
Kalitoa kwny uzi wako pale kwny mabano HASA WANAWAKE.. ndo kakuulza so ni wanawake tu?
Kusema : Nchi za Africa ni masikini (Hasa Tanzania)

Je inamaanisha Tanzania pekee ndio nchi masikini?
 
Kuna bint wakilokole enzi nasoma baada ya kuwa nae karibu akasema huwezi kunioa until uwe unasali kanisan kwetu kanisa. Hiyo ndio amri ya mchungaji wake.

Kanisa Fulani hv ....international. Lipo dar tuu hata mkoani halipo.nlijaribu kumsihi pasipo mafanikio kashika neno la paster wake hakuna kuolewa na watu wengine isipokuwa wanaosali hapo.

Baada ya chuo bint alikuwa mwalimu akapangiwa kazi manyara huko Hamna hata ilo kanisa (dhehebu). Hajaolewa, Siku moja alinicall kuulizia kama nmeshaoa.....

Mungu awasamehe saana, kuna(baadhi) viongoz Wa dini wanawapa vifungo vigumu saana waumini wao...

Mungu awape roho za kuwafunilia vifungo hv
 
Habarini Wadau,

Mods sina lengo la kukashifu imani/dini ya watu bali kukemea na kurekebisha.

Eti wanasema "Uchungaji au Uinjilisti ni Kipawa/Karama" hivyo haina haja ya kusomea miaka kadhaa darasani kama walutheri ktk Uchungaji na wakatoliki katika Upadri wanavyosoma for some years.

HIVI, Kwa dunia ya leo utasimamaje Madhabahuni na kuongea vitu visivyo na LOGICS AND FACTS mbele ya Wasomi?

Utumishi sio kukariri tu mistari ya biblia bali kuhubiri ukweli na uhalisia wa maisha hivyo SHULE NI MUHIMU, Acheni ujinga na upuuzi ktk hili.

◆ Wanawake walokole feki hivi mtaacha kudanganganywa lini?

Mifano:

◆ Mtu anasema anafufua wafu halafu mnamwamini. Je aliwahi fufua kweli mkashuhudia?

◆ Mtumishi yeye anatembea na walinzi mabaunsa zaidi ya wanne halafu eti anakuombea ulinzi wa Mungu. yeye haitaji huo ulinzi wa Mungu?

◆ Watumishi wanaweka kabisa viwango vya sadaka vya ninyi kutoa na mnawaogopa kuliko hata waume zenu eti mnawaita Manabii.

Sio Bure wengine wanawaita Walokole ni "VICHAA" kwani hawajitambui kabisa.

Ni kama wanaoamini waganga tu.

Nimeamini Wajinga ndio waliwao.
Naomba viloba ulivyokunywa abiansi avijatoka kichwani.
 
Mada hii ni nzuri sana kaka, ila kuna mahali nataka nikuelimishe kidogo. Kipindi hiki ni cha hatari sana katika masuala ya Imani, Soma 2 timotheo 3:1-
Ukisoma hapo utazitambua nyakayi tulizo nazo kwa sasa.

1. kwa upande wa manabii wengi ni waongo na walitabiriwa na Yesu mwenyewe.

2. Ulokole sio kigezo cha kuwa mtakatifu, walokole wengi ni watenda dhambi na pia wana ufahamu mdogo sana yaani wanashindwa kupambanua mambo ya rohoni na mambo ya kutumia akili, na ni kwasababu wanashindwa kusimamia neno. Ila haina maana hao tu yaana hata wakristo wa madhehebu mengine ni watenda maovu hakuna mfano huku wakishindwa kushika maagizo ya Mungu kwenye biblia. Hivyo basi unachotakiwa kujua ni kwamba palipo nabii, mtume ama mchungaji ambaye ni tapeli na mwongo mwenye washarika ujue washarika wake wako hivyo hivyo manake kanisa zima limeoza.

Kigezo cha kutambua mkristo aliyemfuata Yesu huyo analitendea kazi neno la Mungu anaishi kama neno la Mungu. Na sio maneno ya manabii au mitume wanaochanganya watu. Hata mchungaji wako akikufundisha neno lolote hebu nenda kwenye biblia uangalie je ni kweli afundishayo? Kama hamna mkimbie huyo ni muongo kabisa anakulia sadaka za bure na kukupotosha.

Kanisa lililo ma msingi wa kweli ya Neno la Mungu kamwe halipotei ama kuchanganyikiwa.

Mimi mwenyewe ni mlokole na akili zangu safi kabisa, nimeenda shule na ninajielewa.Kiimani hakuna kitu ninafundishwa nisingalie misingi ya neno. Kama una swali lolote usisite kuniuliza
 
Hii naona kama udharirishaji hivi, namtokea binti wa kilokole eti ananiambia mpaka niende kanisani kwao ndipo tuoane, da nilimjibu kaa tu na papachu yako sihitaji.
Wala hajakosea wewe mwenyewe kabla ya kuoa mtu ni lazima ukutane na mchungaji wake uulize tabia zake kwanza ujiridhishe sasa utaoaje mtu juu juu. Anakuambia uende kanisani kwao ili mchungaji wake ajue taarifa zako na yeye akujue wewe. Hilo hata Anglican na Roman na Lutheran wanafanya hivyo. Nakushangaa mkristo gani usiyejua misingi ya ndoa.

Hujui kama walokole wengi ni mitego naabomu, we ungeenda kanisani kwao upate taarifa zake hata kwa viongozi wake tu tena kisirisiri
 
Kuna bint wakilokole enzi nasoma baada ya kuwa nae karibu akasema huwezi kunioa until uwe unasali kanisan kwetu kanisa. Hiyo ndio amri ya mchungaji wake.

Kanisa Fulani hv ....international. Lipo dar tuu hata mkoani halipo.nlijaribu kumsihi pasipo mafanikio kashika neno la paster wake hakuna kuolewa na watu wengine isipokuwa wanaosali hapo.

Baada ya chuo bint alikuwa mwalimu akapangiwa kazi manyara huko Hamna hata ilo kanisa (dhehebu). Hajaolewa, Siku moja alinicall kuulizia kama nmeshaoa.....

Mungu awasamehe saana, kuna(baadhi) viongoz Wa dini wanawapa vifungo vigumu saana waumini wao...

Mungu awape roho za kuwafunilia vifungo hv
Hiyo ni kweli mkuu, baadhi ya makanisa ya kilokole huwa hawapendi waumino waolewe na watu wa nje ilo wasiwapoteze lakini ni ufinyu tu wa mawazo kwa sababu Mwenza wa mtu anamjua Mungu na anaweza kutoka popote pale sio lwenye kanisa moja tu.
 
Siku hz kila mtu ana kanisa lake. Kwenye hayo makanisa wanaponda makanisa mengine.
Kanisa linaongozwa kwa masharti ya mwenye kanisa (mchungaji) na waumini wanafata na kumsujudia mwenye kanisa (mchungaji).
 
35 Reactions
Reply
Back
Top Bottom