Hivi wale wazee Tunao ajiri majumbani kwetu Kama walinzi tuko serious kweli?

Yudatade Edesi Shayo

JF-Expert Member
Aug 2, 2016
2,903
4,306
,➡️Tafsiri ya neno mlinzi ,ni mtu shupavu anayeweza kulinda au kukabiliana na hatari yoyote ikitokea!je wale vibabu vilivyo choka ndio tafsiri sahihi ya walinzi?

➡️au tunatimiza tu dhana kuwa lazima tuwe na mtu wakufungua geti siyo mlinzi?
 
  • Thanks
Reactions: Lee
,Tafsiri ya neno mlinzi ,ni mtu shupavu anayeweza kulinda au kukabiliana na hatari yoyote ikitokea!je wale vibabu vilivyo choka ndio tafsiri sahihi ya walinzi?

au tunatimiza tu dhana kuwa lazima tuwe na mtu wakufungua geti siyo mlinzi?
mda mwengine usilalamike tunaweka hili mradi tu nyumba kuwa na watu wawepo kama housegirl ,houseboy,ndugu na huyo.ila watu wakiamua kukuiba hata uweke mbwa kama ngo'mbe watakuvamia tu
 
Umenikumbusha Moro kuna Mzee alikuwa anaitwa Babu Trama alikuwa analinda kwa Mzee Tweve,Ukiingia usiku anajisongea Ugali wake na Mishkaki akimaliza kula Anazimika mpaka Alfajiri ndiyo anaamka anapiga Bange yake alafu anajifanya Amechoooka na kazi.
 
Ikifika saa saba usiku unarudi unakuta babu kalalafofo hata mwizi akija kuvunja milango hawezi amka kwa usingizi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom