Hivi wale wasomali wa Goig na Transformer hotel mbona hawasomeki?

Pascal Ndege

JF-Expert Member
Nov 24, 2012
2,977
1,897
Ukienda Goig Mbezi beach na Transformer Hotel pale Kamata kuna mishemishe nyingi sana za wasomali.

Hivi Jeshi la police na Uhamiaji wanajua nini kinaendelea maeneo haya? Maana naona wanaongea kisomali tu. Tusiwe tunahangaika na hawa wahamiaji wa malori tukawasahau hawa wa ndege.

Isije ikawa wanakuja hawana vibali wanapata document kwa nguvu ya pesa hapa Tanzania wanaenda wanakoenda kufanya uhalifu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom