#COVID19 Waliosema wanatupa wiki 2 tuanze kuokota mizoga barabarani, wako wapi siku hizi?

FRANCIS DA DON

JF-Expert Member
Sep 4, 2013
36,013
40,681
Nasikia Africa yote yenye nchi karibu 70 ins vifo visivyofika 4,000, ambayo USA walikuwa wanavipata kwa siku. Sasa wapi akina Melinda gates na Mange Kimambi? Mnatupa siku ngapi za nyongeza tuanze kuokota watu barabarani kama kumbi kumbi?





================================
Update: 17/07/2021
Mwingine huyu
 
Haha, kwani we unaamini US walikuwa wanakufa 4,000 tu kwa siku?
Hahaa hizi zote ni propaganda. Dhumuni haswaa ni kuwatia watu hofu ili wapate chance ya kufanya biashara zao

You can imagine kile kifaa cha kupimia virus wa covid 19 kinauzwa laki 5s sijui sina hakika sana (wajuzi watanisaidia)

Lakini bei yake inacheza katika rank hizo So Mimi nawewe tujiulize mpaka sasa wauzaji wa hivyo Vifaa wameshauza vingapi na wamesha ingiza faida kiasi gani?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani mliozika usiku hawakuwa mizoga? Kama unafikiri kuna watu hawakufa kiasi ulichotegemea, mshukuru Mungu. Usijipige kifuani kuwa wewe ni mjanja.
Nasikia Africa yote yenye nchi karibu 70 ins vifo visivyofika 4,000, ambayo USA walikuwa wanavipata kwa siku. Sasa wapi akina gates na Kimambo? Mnatupa siku ngapi za nyongeza tuanze kuokota watu barabarani kama kumbi kumbi?
 
Uchoyo wa habari, maendeleo na ugunduzi ni kazi yetu Waafrika. Sisi tuligundua chuma kabla ya mzungu, koo zilizojua kufua chuma zilifanya ujuzi huo kuwa siri ya ukoo na anafundishwa mtoto mkubwa arithi ujuzi kama vile wanavyorithi uganga wa kienyeji.

Mzungu alipogundua ujuzi huu alifanya hila mpaka tukamfundisha. Yeye alikaa na wenzake wakaona wakizalisha majembe 20 kwa mwaka watapata faida. Matokeo yake zana za chuma zilimuendeleza zaidi mzungu katika ustaarabu wa kulima na kufuga.
 
Back
Top Bottom