Komando tamimy
Senior Member
- Nov 18, 2020
- 108
- 121
Msimu wa 2015-20 kulikuwa na wimbi kubwa la wabunge kuunga juhudi tukianzia kwa Mollel (Siha) Lijuakal (Kilombero), Ryoba (Serengeti), Masinji (KM), Issack karanga (Monduli), Silinde (momba), Waitara(Ukonga) Na wengineo wengi ambao sikuwataja hawa wote waliwasaliti wananchi wao kwa kuendekeza njaaa za matumbo yao.
Likazuka jingine karibia na uchaguzi wimbi ka Wabunge wa Viti Maalum wa CHADEMA ambao walidai kunyanyaswa kingono. Hoja yangu ni wale wakina mama kesi yao ya kudhalilishwa iliishia wapi?
Likazuka jingine karibia na uchaguzi wimbi ka Wabunge wa Viti Maalum wa CHADEMA ambao walidai kunyanyaswa kingono. Hoja yangu ni wale wakina mama kesi yao ya kudhalilishwa iliishia wapi?