Frank Wanjiru
JF-Expert Member
- Apr 12, 2012
- 21,839
- 38,726
Makinikia yana roho na pumzi?Pour reasoning,kwani makinikia yana uraia?
Makinikia yana roho na pumzi?Pour reasoning,kwani makinikia yana uraia?
Wa Lumumba aka Nyumbu wa Tanapa.Unamaanisha nyumbu wapi em uwe specific kidogo
Amesusa sababu bwana John anawabatiza kwa moto kiimani na chamani.FaizaFoxy mbona umepotea hivyo siku hizi?
Nipo tu dada yangu.FaizaFoxy mbona umepotea hivyo siku hizi?
Nimetafakari hapa naona tuna kitu tunakijenga sio kizuri hata kidogo.
Yote ni mifugo tofauti ni wanyama pori na wakufugwa.
Kuna kila mwaka wanyama huwa wanahama kila mwaka toka Tanzania kwenda Kenya na kutoka Kenya kuja Tanzania katika kutafuta maji na malisho.
Nauliza hivi hawa wanyama hakuna nchi itakuja wazuia kuhama? Au kuvuruga hii taratibu za kuvuka mpaka na kutafuta marisho?
Mbona unakula kukua wa kuchoma unaweka na pilipili kabisa,unashangaa nini vifaranga kuchomwaWaki wazuia watakuwa wameamua kuwaua sasa sijui watapata nini hapo lakini kwa Serikali yetu ya sasa nini kuuwa Wanyama kama tumeweza kuchoma Moto Vifaranga bila ya kujali chochote nini
Nyumbu wa aina gani ama unataka kutukana watu maana kuanzia septemba wengi kwa makundi wamehamia KenyaNimetafakari hapa naona tuna kitu tunakijenga sio kizuri hata kidogo.
Yote ni mifugo tofauti ni wanyama pori na wakufugwa.
Kuna kila mwaka wanyama huwa wanahama kila mwaka toka Tanzania kwenda Kenya na kutoka Kenya kuja Tanzania katika kutafuta maji na malisho.
Nauliza hivi hawa wanyama hakuna nchi itakuja wazuia kuhama? Au kuvuruga hii taratibu za kuvuka mpaka na kutafuta marisho?
Mwezi septemba hua wanahamia Kenya mkuusijaelewa, kwani member wa chadema huwa wanahama kila mwaka?