Hivi wale nyumbu na wanyama wanaohama kila mwaka tumewafikiria pia katika mahusiano na Kenya au tunaangalia ng'ombe tu?

Hii ninishu ya nature, haizuiliki! Iko kwenye dna ya hao wanyama kwenda na kurudi.

Vivyo hivyo kwa mifugo ya wamasai! Kwa generations wametumia Serengeti-Masai Mara ecosystem. Hii ni nature pia: nature-society coexistence iliyotengenezwa kwa generations.
 
Mkuu haujui sheria za kimatifa za urithi wa dunia(Unesco heritage sites) ?
Haujui nchi za EAC ni wanachama wa WWF?
Sheria hizo zina zinakataza kufanya hicho unacho ogopa wewe.

Nafikiri unajua fika haya mambo lakini unataka kuhusisha siasa tu kila jambo.
Mkuki kwa nguruwe,kwa binaadamu mchungu.,hivyo na hao wanyama wa ndugu zenu mnaowaua na kuwaiba,mnavyofanya ni haki na ubinaadamu?,ukitengeneza mabaya ytazalisha mabaya,time will tell.
 
Ulilala ukaota hii ndoto na ukathubutu kuandika hapa.wewe sio mzima aisee .unasema nyumbu walizuiwa wakati ataa tulikuwa tunalishia ngombe kenya !!! .kwa taarifa yako mawasiliano pekee ambayo ayakuathiriwa na kuvunjika jumuia ni huu wa nyumbu na malisho ya ngombe .kama ujui uliza
Wewe nadhani Mkenya na sio mzima. Unataka nikutumie picha za wanyama walivyokufa? Bado hazijawa de-classified.
 
Chifu, unafahamu WWF ni NGO tu, right? Na sijawahi kusikia kuna nchi zilizo wanachama wa WWF! Isipokuwa WWF, kama International NGO, ina offices katika nchi mbalimbali. Na WWF haina sheria zozote ambazo nchi inapofanya kazi, zinafungwa na hizo sheria.

Pengine kuna jambo ulitaka kusema, lakini haujaliweka sawa.
Sawa nakubaliana nawe kuhusu WWF, Lakini UNESCO hukuiona nimeitaja pia? Na wao ndio waliotutahadharisha kuhusu mradi wa Stiegler.
 
Mkuki kwa nguruwe,kwa binaadamu mchungu.,hivyo na hao wanyama wa ndugu zenu mnaowaua na kuwaiba,mnavyofanya ni haki na ubinaadamu?,ukitengeneza mabaya ytazalisha mabaya,time will tell.
Unalijadili jambo hili kihisia zaidi ya uhalisia.

Hao jamaa wanaouwawa ni nani?
Na wauwaji ni akina nani?
Wanaibiwa nini na nani?
Wanatendewa hayo wakiwa eneo gani?
 
Sawa nakubaliana nawe kuhusu WWF, Lakini UNESCO hukuiona nimeitaja pia? Na wao ndio waliotutahadharisha kuhusu mradi wa Stiegler.
It’s a good concern. Kwa sababu ecosystem hiyo ni UNESCO World Heritage Site.

Tatizo ni kwamba, Bwana Magufuli doesn’t give a damn about sheria na mikataba! Ndiyo maana nimemshauri ajenge ukuta kuzuia hiyo seasonal wildlife migration.
 
Ile ni nature wakiwa kwako ndo wako wakiondoka sio wako kuna nchi iliwahi weka fensi kuwazuia wasihame ulipofika wakati wakaikuta fensi yote iko chini.
 
It’s a good concern. Kwa sababu ecosystem hiyo ni UNESCO World Heritage Site.

Tatizo ni kwamba, Bwana Magufuli doesn’t give a damn about sheria na mikataba! Ndiyo maana nimemshauri ajenge ukuta kuzuia hiyo seasonal wildlife migration.
What is WWF?
 
Kwakweli haya mambo yanajenga taswira ambayo italeta shida mbeleni.
 
Mifugo na wanyamapori ni kesi mbili tofauti so malizia hiyo Balimi yako ukalale tu mkuu
 
Back
Top Bottom