Hivi wakowapi hawa ma rapper? nawakubali sana kwana wanajua ila ndo ivo wameenda wapi sijui..

bafetimbi

JF-Expert Member
Aug 19, 2018
1,085
1,734
Kuna huyu Juelz Santana huyu jamaa ni hatari kwa waliomfahamu watakubali, mwingine ni Chingy na Ja Rule mwenye taarifa zao tafadhali atujulishe...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom