Hivi wakina dada KIVAZI cha aina hii huwa mnashindaje nacho?!!

Changamsha genge!

Loh! kweli huyu anachangamsha genge shost! haya mambo yapo bt siku io una kuwa kimahabati na mkeo ful kushinda chumban, ww unaenda nayo had ofisn hahaha! kazi kweli kweli, iundwe kbs tume ya kukuchunguza inawezekana una maproblem.
 
Mkuu hilo jaribio si mchezo.ila nadhani umetambua kuwa kuna tofaut ya kipekee kat yetu na wanawake.dont try it again bro!j2 njema.
 
Icho kikamba kwa nyuma kilipokuwa kinazama ndani ulikuwa unajisikiaje?
 
Mkuu hilo jaribio si mchezo.ila nadhani umetambua kuwa kuna tofaut ya kipekee kat yetu na wanawake.dont try it again bro!j2 njema.

poa mkuu.na ww dont try this at home!! nyc weekend 2u 2 bro.
 
Haukuwa unasikia raha kinapo kuingia kunako tundu la ushuzi? sio kila kitu kinaigwa shauri yako.
habari zenyu bhaana ...... Leo asubuhi mimi na mai waifu wangu tumekubaliana tubadilishane vivazi vyetu vya ndani,yeye aka2pia ki2 cha BOXER,mimi nika2pia BIKINI nikaelekea kwnye majukumu yangu ya kulijenga taifa,sasa hapa nilipo najuta kuvaa hichi kivazi maana dah! kinanikera kinoma, kinaingia kunako kila dakika ........ndio mana nauliza wakina dada huwa mnashindaje na hichi kivazi?!!
 
Back
Top Bottom