Hivi wakina dada KIVAZI cha aina hii huwa mnashindaje nacho?!!

labda umevaa zile za kiume zilizotengenezwa mahsusi kwa wanaume na si ya mkeo maana muundo wake si kwa ajili ya wanaume

kumbe kuna bikini za kiume?!!lol
 
A manly man will never wear a woman's underwear no matter what.

For you to wear your wife's g-string, thong, bikini, or whatever the hell it is, that's a man law violation. We might have to revoke your man card.
 
Pole mwaya, napatia picha kinavyokubaka. Ila mkeo angekuwa kajaaliwa ingekupwaya kiasi. Kesho church uvae high heels zake nazo uone kama zinalipa ama vipi?

Dah! nivae tena! ht km mapenzi yaache yaishe cvai tena .......hivi kumbe vinaingia mpk kunani?!!
 
sipati picah jamaa hiko kikamba kinavyomkuna anajiskiaje.. Haya mapenzi haya yana mambo mengi kweli .na hili sio limbwata ni mapenzi tu haya aisee

mtoto wa tanga huyu ananitesa ......vp ww wife akikwambia uvae,utavaa?
 
a manly man will never wear a woman's underwear no matter what.

For you to wear your wife's g-string, thong, bikini, or whatever the hell it is, that's a man law violation. We might have to revoke your man card.

hujawahi kupenda ww?
 
Mkuu, uwe mwangalifu maana siku moja unaweza ukajikuta unamwambia mkeo mbadilishane 'zana' kabisa ili ujaribu uone zao wanawezaje kukaa nazo siku nzima!
 
Back
Top Bottom