Hivi wakina dada KIVAZI cha aina hii huwa mnashindaje nacho?!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hivi wakina dada KIVAZI cha aina hii huwa mnashindaje nacho?!!

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by ENZO, Jan 21, 2012.

 1. ENZO

  ENZO JF-Expert Member

  #1
  Jan 21, 2012
  Joined: Sep 30, 2010
  Messages: 4,057
  Likes Received: 552
  Trophy Points: 280
  habari zenyu bhaana ...... Leo asubuhi mimi na mai waifu wangu tumekubaliana tubadilishane vivazi vyetu vya ndani,yeye aka2pia ki2 cha BOXER,mimi nika2pia BIKINI nikaelekea kwnye majukumu yangu ya kulijenga taifa,sasa hapa nilipo najuta kuvaa hichi kivazi maana dah! kinanikera kinoma, kinaingia kunako kila dakika ........ndio mana nauliza wakina dada huwa mnashindaje na hichi kivazi?!!
   
 2. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #2
  Jan 21, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,375
  Likes Received: 19,621
  Trophy Points: 280
  hiko kidude siwezi kukiweka kwenye mwili wangu hata kama mke wangu n i mtoto wa malkia .. najua hata wewe hujaivaa unajaribu tu kusherehesha jukwaa
   
 3. s

  shosti JF-Expert Member

  #3
  Jan 21, 2012
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 4,949
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  hahahahaahhaah weye lazma umefungasha....
   
 4. JS

  JS JF-Expert Member

  #4
  Jan 21, 2012
  Joined: Sep 29, 2009
  Messages: 2,065
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Labda umevaa zile za kiume zilizotengenezwa mahsusi kwa wanaume na si ya mkeo maana muundo wake si kwa ajili ya wanaume
   
 5. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #5
  Jan 21, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 302
  Trophy Points: 160
  na ukiona mwanamme anataka hata kujaribishia, ana walakini

   
 6. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #6
  Jan 21, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,375
  Likes Received: 19,621
  Trophy Points: 280
  huo ni ukweli ...mapunga ndio wanavaa hii kitu aisee
   
 7. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #7
  Jan 21, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  hapi nyu iya my dearest sissy shosti long time no see you..
   
 8. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #8
  Jan 21, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Wewe unauaga mwez kwa chai?
   
 9. Poriposha

  Poriposha JF-Expert Member

  #9
  Jan 21, 2012
  Joined: Oct 23, 2011
  Messages: 306
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Aiseeeeeeeeee cheka uongeze siku za kuishi hapa duniani bwana!!! daaaah
   
 10. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #10
  Jan 21, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  kweli kabisa mkuu.. kesho itakuwa sidilia ngoja tuendelee kulog in atasema tu..
   
 11. Ngongo

  Ngongo JF-Expert Member

  #11
  Jan 21, 2012
  Joined: Sep 20, 2008
  Messages: 12,155
  Likes Received: 3,632
  Trophy Points: 280
  Napita wakuu ha ha ha ha ha ha.
   
 12. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #12
  Jan 21, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,375
  Likes Received: 19,621
  Trophy Points: 280
  sipati picah jamaa hiko kikamba kinavyomkuna anajiskiaje.. haya mapenzi haya yana mambo mengi kweli .na hili sio limbwata ni mapenzi tu haya aisee
   
 13. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #13
  Jan 21, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,508
  Likes Received: 2,249
  Trophy Points: 280
  Pole mwaya, napatia picha kinavyokubaka. Ila mkeo angekuwa kajaaliwa ingekupwaya kiasi. Kesho church uvae high heels zake nazo uone kama zinalipa ama vipi?
   
 14. s

  shosti JF-Expert Member

  #14
  Jan 21, 2012
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 4,949
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  Nawe pia mpendwa wangu....nipo bwana si unajua na ulezi unakaba wakati mwingine!
   
 15. Mphamvu

  Mphamvu JF-Expert Member

  #15
  Jan 21, 2012
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 10,708
  Likes Received: 933
  Trophy Points: 280
  bonge moja la ushauri!
  I love you KING...
   
 16. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #16
  Jan 21, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,508
  Likes Received: 2,249
  Trophy Points: 280
  Hufai kabisa wewe! Nimebaki napatia picha huo mpangilio wa hizo tango kwenye tong! Ntapaliwa afu utanikoma!
   
 17. Mphamvu

  Mphamvu JF-Expert Member

  #17
  Jan 21, 2012
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 10,708
  Likes Received: 933
  Trophy Points: 280
  kwa hiyo Ze Popo anapakuliwa kifusi? Makubwa mwenzangu...
   
 18. ENZO

  ENZO JF-Expert Member

  #18
  Jan 21, 2012
  Joined: Sep 30, 2010
  Messages: 4,057
  Likes Received: 552
  Trophy Points: 280
  ww ni she au ni he?
   
 19. ENZO

  ENZO JF-Expert Member

  #19
  Jan 21, 2012
  Joined: Sep 30, 2010
  Messages: 4,057
  Likes Received: 552
  Trophy Points: 280
  embu niachie dada ako tuone kama ni kweli.
   
 20. ENZO

  ENZO JF-Expert Member

  #20
  Jan 21, 2012
  Joined: Sep 30, 2010
  Messages: 4,057
  Likes Received: 552
  Trophy Points: 280
  sijui embu ngoja nijicheki.
   
Loading...