Hivi Wakili Mkono analipwa kiasi gani na serikali?

MalcolmX

Senior Member
Mar 13, 2014
158
100
Jina lake lipi kenye kesi ya IPTL....na kila skendo ya ubadhirifu wa fedha

Hivi hiyu jamaa anai bill serikali kiasi gani kwa kila kesi?

Going rates ni kiasi gani?

Je anaaaidiwa na kampuni A sheria za nje ya nxhi au?
 
Ooyooo wanafunzi wetu wa kizalindo wakitaka mikopo hupigwa mabomu na maji ya washa washa lakini za kifisadi huwa hakuna cha mabomu wala washa washa
 
Wajinga ndiyo waliwao.Sasa siku zote hizo Serikali haikujua kwamna Mkono & Advocates wako kibisashara zaidi.
 
Mkono Advocates ina matawi hadi London... Rates zao ni za kimataifa! Hutaki unaacha! Ndo maana Balozi karibu zote humtumia huyu Jamaa... Wengi wetu hawajui Lawyers hutumiwa kuainisha mapungufu ya sharia zetu wenyewe kwa maslahi mapana ya mataifa ya magharibi!!! Mnakumbuka ile Kesi ya Wanajeshi wa Uingereza walioua raia ambapo mwisho wa siku waliachiwa huru? Mkono ni bonge la lobbyist ... yeye huwa ana charge hadi Negotiation fees kulingana na Price Tag ya Judge mwenye dhamana au Waziri anaetakiwa kutia saini !!!..Yale Magari hakumkodishia Zitto bali alimzawadia baada ya kugundua kuwa jamaa anayahitaji!!! Chezea Mkono weweeee...
 
Mkuu umeniacha

Local rates ni zipi na international rates ni zipi?

Inafika dola 500 kwa saa au?
 
huyu jamaa angekuwa china mbona angeshasahaulika siku nyingi.

Jina lake lipi kenye kesi ya IPTL....na kila skendo ya ubadhirifu wa fedha

Hivi hiyu jamaa anai bill serikali kiasi gani kwa kila kesi?

Going rates ni kiasi gani?

Je anaaaidiwa na kampuni A sheria za nje ya nxhi au?
 
Nimetazama kwenye ripoti ya CAG....kuhusu Tanesco...haipo!!!!!!

Inaonekana mkono ana mkono mrefu mpaka kwenye ofisi ya CAG...

THE SEARCH CONTINUES....
 
306681_10151063016359743_1581996414_n.jpg
 
Whoever loose the case (plaintiff or defendant )- lawyer wins , in short it is the game of head I win tail you loose
 
Back
Top Bottom