Bahati mbaya watu wa mikoani ndoto zao ni kuishi Dar. Hata serikali pamoja juhudi za Jpm inashindwa kuihama Dar completely .Dar watu waishi kama vichaa muda mwingine..
Kuna sehemu uswahilini unakuta maji machafu yametwama hadi yameanza kutoa harufu kali,lakini watu hawajali wala nini wanakula tu magood time.
Sent using Jamii Forums mobile app
Imesababisha maisha yao yamekuwa magumu sana kwa miaka 60 watu wanakula uchafu tuKi vipi?
PointlessSIYO MBOGA MBOGA TU, HATA MAJI YETU NI MACHAFU. NENDA RUVU UKAONE MAJI YANAYOCHAKATWA NA KUWA SAAAAFI KWA KUNYWA. HALAF CHA KUSHANGAZA SISI DAR NDIYO SEHEMU PEKEE HAPA TIZII, TUNAOPATA MAJI SAFI NA SALAMA KWA %98, KULIKO SEHEMU YOYOTE TZ NZIMA.NG'OMBE, MBUZI, KONDOO NA KUKU MNAOWAFUGA HUKO KWENU, SOKO KUU LIPO DSM. HUKO KWENU KUTOKA MJI A KWENDA MJI B NAULI NI SH 3000. DSM KUTOKA KAWE MPJ MBAGALA NAULI NI SH 600. DSM NDIYO MJI PEKEE AMBAO NYNY WAMKOANI MKIFIKA HAMTAKI KURUDI KWENU. NA MNAKULA HUO HUO MCHICHA WETU. KARIBU DSM JIJI LISILOKWISHA HAMU
Wewe kukaa ulaya ndio unadhania kila mtu anabasin la kulimia mboga? Tumia akili. Dar 90% ni uswahilini
Miezi ya mvua inakaribia hameni mabondeni huko.SIYO MBOGA MBOGA TU, HATA MAJI YETU NI MACHAFU. NENDA RUVU UKAONE MAJI YANAYOCHAKATWA NA KUWA SAAAAFI KWA KUNYWA. HALAF CHA KUSHANGAZA SISI DAR NDIYO SEHEMU PEKEE HAPA TIZII, TUNAOPATA MAJI SAFI NA SALAMA KWA %98, KULIKO SEHEMU YOYOTE TZ NZIMA.NG'OMBE, MBUZI, KONDOO NA KUKU MNAOWAFUGA HUKO KWENU, SOKO KUU LIPO DSM. HUKO KWENU KUTOKA MJI A KWENDA MJI B NAULI NI SH 3000. DSM KUTOKA KAWE MPJ MBAGALA NAULI NI SH 600. DSM NDIYO MJI PEKEE AMBAO NYNY WAMKOANI MKIFIKA HAMTAKI KURUDI KWENU. NA MNAKULA HUO HUO MCHICHA WETU. KARIBU DSM JIJI LISILOKWISHA HAMU
Usichojua ni kuwa asilimia 80% ya wakazi wa dar wanakula mboga kutoka mikoa ya karibu alfajiri Kuna magari fuso na canter nyingi Sana zonaleta majani kutoka pwani, morogoro, tangaMnakula sana bamia na mboga za majani maana ndio chakula kikuu. Sio kama mikoani kuna vitoeo kibao.
Lakini mboga za majani mnazokula zinalimwa mabondeni na humwagiliwa maji machafu ya kinyesi.
Mimi nikiwa zangu Igunga ni kula kuku,nyama ya ng'ombe na mbuzi. Mboga za majani zinakuwepo kama kicholombwezo.
Watu wa Dar hamuoni kinyaa kula kinyesi na uchafu?
Inaleta monyoo kinomaKinyesi ni mbolea
Nchi nyingi zinatumia mbolea ya binadamu kwenye kilimo...
Wewe upeo mdogo
2017 nlikua nalima mwanza Chinese naleta darUsichojua ni kuwa asilimia 80% ya wakazi wa dar wanakula mboga kutoka mikoa ya karibu alfajiri Kuna magari fuso na canter nyingi Sana zonaleta majani kutoka pwani, morogoro, tanga
Wewe ulisoma Sesesco nini ?!Kinyaa cha nini? Shuleni tulimwagilia majitaka, sewage, mboga zilistawi vizuri na zilipata afya kwa hayo majitaka toka mabafu ya mabweni, wanafunzi tulikula bila kuona kinyaa