Hivi wakazi wa Dar huwa hamuoni kinyaa kula mboga za majani zilizomwagiliwa maji machafu?

Ulishawahi kuskia mchicha mwiba??
Au mchicha wa nyuma ya nyumba???
Km bado nitafute mtoa mada nikueleweshe wala usije kw jazba
 
Mnakula sana bamia na mboga za majani maana ndio chakula kikuu. Sio kama mikoani kuna vitoeo kibao.

Lakini mboga za majani mnazokula zinalimwa mabondeni na humwagiliwa maji machafu ya kinyesi.

Mimi nikiwa zangu Igunga ni kula kuku,nyama ya ng'ombe na mbuzi. Mboga za majani zinakuwepo kama kicholombwezo.

Watu wa Dar hamuoni kinyaa kula kinyesi na uchafu?
Hawana alternative, inawabidi wale hivyo hivyo
 
Ina maana hujuwi kama kinyesi a.k.a mboji ni kichocheo cha ustawi wa mimea mkuu?
 
Mnakula sana bamia na mboga za majani maana ndio chakula kikuu. Sio kama mikoani kuna vitoeo kibao.

Lakini mboga za majani mnazokula zinalimwa mabondeni na humwagiliwa maji machafu ya kinyesi.

Mimi nikiwa zangu Igunga ni kula kuku,nyama ya ng'ombe na mbuzi. Mboga za majani zinakuwepo kama kicholombwezo.

Watu wa Dar hamuoni kinyaa kula kinyesi na uchafu?
Una takwimu za kuthibitisha hili ni tatizo?
 
mboga Bora duniani na inayokibalika mwanalumumba ni nyama nyeupe ,mboga zamajani na maharage tafiti kisayansi

Unalalamika mboga zawezako kumwagiliwa na majitajwa kwani hawana maji ya kuoshea kua na adabu wewe

Mnakula manyama yambuzi ,ng'ombe harafu ukifika miaka 40 unaaza kutusumbua kutugongea milango eti nakuja Nina clinic muhimbili na Dr hhh...falani wafarabushing mkubwa wewe
Sound like your stupid
 
Mboga za majani salama ni zile ulizolima mwenyewe.Na sio hizi za maji taka na moshi wa magari.
Eti mboga za majani chungu kama kwinini sababu ya madawa inapigwa dawa jioni asubui inachumwa mfanyabiashara anajali pesa yako na sio afya yako.
 
Wakati wa China wanajenga reli ya Tazara Mashamba yao ya mboga mboga Kurasini yalimwagiliwa na kutiwa mbolea na maji toka vyooni mwao na walikuwa na afya nzuri sana. Walijenga reli toka Dar mpaka Zambia kwa muda mfupi kuliko reli ya Magu toka Dar/Moro tena kwa mikono.
Mwisho samadi mnayotumia nyie washamba ni kinyeshi pia.
Muda mfupi miaka mingapi?
 
Back
Top Bottom