Hivi wakati tunaibiwa madini yetu kwa mikataba mibovu kanisa katoliki lilikuwa wapi?

lendila

JF-Expert Member
Sep 26, 2012
5,806
4,370
Hivi wakati tunaibiwa madini yetu kwa mikataba mibovu kanisa katoliki lilikuwa wapi?kanisa katoliki lilishindwa kumshauri mh rais mkapa namna boro ya kusaini mikataba inayonufaisha nchi kweli?
 
mmh mbona kama sikuelewi ina maana unataka kuuambia ulimwengu kuwa kanisa katoliki nni sehemu ya serikali sio?
 
Umeushirikisha ubongo wako kabla haujapost huu upumbavu wako..?au ni vidole vyako tu vimekurupuka na kutype?
 
Kama hii nchi ingekuwa ya kijamaa, sasa hivi tungeshanyonga watu wawili wakubwa kwa kuhujumu uchumi.
 
Hivi wakati tunaibiwa madini yetu kwa mikataba mibovu kanisa katoliki lilikuwa wapi?kanisa katoliki lilishindwa kumshauri mh rais mkapa namna boro ya kusaini mikataba inayonufaisha nchi kweli?
Usipende kula ugali usiku,haya ndiyo madhara yake
 
Mtoa mada mbona hujauliza CCM ilikua wapi wakti huo, au yenyewe ndo imeshika dola 2015:eek::eek::eek:
 
kama bunge tu halikushirikishwa 100% na nakala hawana je 4th part ambaye ni kanisa angeshirikishwa kweli
 
Hivi wakati tunaibiwa madini yetu kwa mikataba mibovu kanisa katoliki lilikuwa wapi?kanisa katoliki lilishindwa kumshauri mh rais mkapa namna boro ya kusaini mikataba inayonufaisha nchi kweli?

kwani sasa hivi wapo wapi? na hizi figisu figisu zinazoendelea? mbona hawamshauri huyu wa sasa hivi kwani sio mkatoliki mwenzao?
 
Back
Top Bottom