YEHODAYA
JF-Expert Member
- Aug 9, 2015
- 36,902
- 51,992
Hili jambo linanikanganya.Wafadhili wanapotoa misaada wanaipa serikali au wananchi? Mfano ukitolewa msaada kwa ajili ya kusambaza umeme kijiji cha milembe,Dodoma.Yanayotokea Zanzibar yanawezaje kuhusishwa na msaada wa kijiji cha milembe? Wataalamu wa misaada nisaidieni uhusiano uliopo kati ya mradi unaofadhiliwa kijijini milembe na uchaguzi wa Zanzibar.