HIVI wadada mnakuwa na handkerchief mbili ama moja tu?

Mshinga

JF-Expert Member
Feb 5, 2013
3,532
1,124
handkerchief za wadada zina mambo,mara zinatumika kusafishia dushelele ama kwa matumizi ya kawaida,sasa wadada wanatumia mbili kwa kazi tofauti ama moja kwa kazi zote,kama ni kusafishia mshipa twende akigeuka vile anajifutia jasho.
 
handkerchief za wadada zina mambo,mara zinatumika kusafishia dushelele ama kwa matumizi ya kawaida,sasa wadada wanatumia mbili kwa kazi tofauti ama moja kwa kazi zote,kama ni kusafishia mshipa twende akigeuka vile anajifutia jasho.

vibaya hivyo kuja kusema shemeji yetu hadharani
 
Ogopa wale wenye kutumia hivyo vtambaa kufuta fresh discharge,huwa wanakufuta halafu wanahifadhi,kesho yake mbio kwa babu mlingotini anakufanyia mambo,mzee hufurukuti,kila wakati unakumbuka kufutwa na hicho kitambaaa tu.Me I prefer toilet paper
 
Heee hii kwangu ni mpya kabisa,i thought kufuta jasho na kamasi..duuh huyo mdada wako noma kama ni hivyo atembee na dazani kabisa
 
Tabia za demu wako si za wadada wote

Demu wangu,demu wako,demu yule na yule,ndo linazaa neno wadada,ama unafikiri demu wangu nilimtoa wapi?Si miongoni mwa wadada na pengi unasema demu wako kumbe ndo huyo huyo demu wangu.
 
mawazo chooni kama mende

ukimjibu mwenye mawazo ya chooni kama mende ujue na wewe una mawazo ya chooni kama mende. usingekuwa na mawazo haya ungesepa kimya kimya.
 
yani mada zako we mkaka/mdada! Khaa

Si kila siku niwafurahishe watu wengi,siku nyingine waniseme mimi,lakini sikosi kujifunza hata nikileta mada nikashambuliwa sana,naamini hapa baadhi ya watu wanajifunza kitu kupitia mada hizihizi ambazo wengi wanazishambulia,hata mpenzi wako hawezi kukuridhisha kila siku.
 
Back
Top Bottom