Hivi wachumi wetu soda na sigara kuwa chanzo cha mapato ni aibu toka tupate uhuru 1961?

mwembemdogo

JF-Expert Member
Feb 28, 2016
2,282
1,252
Ni aibu kwa wachumi wetu kuendelea kutegemea soda na sigara kama chanzo cha mapato toka nchi ipate Uhuru 1961.

Nchi za Afrika Mashariki ikiwemo Kenya ilikwisha acha kutegemea chanzo hicho kwani kimeonekana ni kuwatesa wananchi wake.

Nilitegemea wachumi wetu wangefuta misamaha ya kodi inayotolewa kwa wawekezaji na wafanyabiashara wakubwa
 
Dawa yao tuache kuvuta sigara, kunywa soda na bia tuone kama wana ubunifu zaidi, kama hawatarudisha kodi ya kichwa
 
Ni aibu kwa wachumi wetu kuendelea kutegemea soda na sigara kama chanzo cha mapato toka nchi ipate Uhuru 1961.

Nchi za Afrika Mashariki ikiwemo Kenya ilikwisha acha kutegemea chanzo hicho kwani kimeonekana ni kuwatesa wananchi wake.

Nilitegemea wachumi wetu wangefuta misamaha ya kodi inayotolewa kwa wawekezaji na wafanyabiashara wakubwa
Huu ni ukilaza wahali ya juu sana nchi hii vyanzo vingi sana vyamapato wao kila mwaka wanapita mulemule to
 
Ni aibu sana kuwa na nchi inayowaza vyanzo vile vilen tangu Uhuru. Madai yao eti bia si hitaji la msingi hivyo hata ukikosa huwezi pata madhara ndiyo maana kila mwaka kodi juu. Ifike mahali Serikali iwaze angalau hatua moja mbele si kila siku pale pale.
 
Ebu nyie msio vilaza elezeen hapa mnefanya nn ili kuongeza mapato
Unajua watanzania wanatabia ya kuwaona wenzao hawajui mambo ila wao. ni dhihaka kufikiri wachumi wote ni vilaza wakati wewe ambaye siyo kilaza huna alternative solution.Vinywaji ni biashara kubwa sana Tanzania na inakwenda haraka sana.Wauzaji wa vinywaji kwa jumla wanajua hilo.huwezi kuacha kutoza kodi kwa bidhaa inayotoka kwa wingi vile halafu utegemee bidhaa ambazo hazifanyi vizuri sokoni.
 
Well said Jeru...ndo maana namm nkawapa wao nafasi waseme..hushindwi kusikia wakiongelea migodi,simu na gas
 
Ni aibu sana kuwa na nchi inayowaza vyanzo vile vilen tangu Uhuru. Madai yao eti bia si hitaji la msingi hivyo hata ukikosa huwezi pata madhara ndiyo maana kila mwaka kodi juu. Ifike mahali Serikali iwaze angalau hatua moja mbele si kila siku pale pale.
Tatzo mnapenda sana kulalamika kwenye mambo yasiyokua na msingi wowote ebu be honest usipo kunywa pombe au vuta sigara kwa Maisha ya Mtanzania kuna madhara gani na ukiwa mlevi kwenye vitu hivi kuna madhara gani???....Mfano mdogo ukiweza kudhibiti NguVU kazi kubwa ya Taifa inayoaangamia kwa sababu ya kuendekeza ulevi LAZIMA uchumi wa taifa utaimairika tu...Hivyo ni vizuri kudhiti matumizi ya vilevi ndani ya nchi yetu ili tuokoe NGUVU KAZI YA VIJANA waweze kujikita kwenye kuzalisha mali zaidi na kunyanyua uchumi wetu........
 
Mimi sitaki kutumia hilo neno ila wachumi Tanzania hawana msaada kabisa tena kabisa...
Kwa hiyo hapa unataka mchumi ashauri kodi ya VILEVI ipunguzwe ili tuwe tunashinda Bar siku nzima na kuacha kujikita kwenye shughuli za uzalishaji mali.....Tuwe wa kweli hili si jambo la kulilalamikia kabsa TUNAKIWA TUKEMEE ULEVI NA UVUTAJI SIGARA ndio maana Serikali inaamua kupandisha kodi ili tusiendeelee kutengeneza taifa la WALEVI
 
Back
Top Bottom