Hivi wabunge na mawaziri wa ccm wanajiskiaje wakimsikiliza tundu lissu? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hivi wabunge na mawaziri wa ccm wanajiskiaje wakimsikiliza tundu lissu?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by MR.LEO, Jul 14, 2012.

 1. M

  MR.LEO Senior Member

  #1
  Jul 14, 2012
  Joined: Jun 10, 2012
  Messages: 129
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Jamani mimi sio mwanachama wa chama chochote cha siasa hapa nchini lakn kila nikimsikiliza huyu jamaa naona wazi kabisa anauonyesha umma kwamba serikali iyopo madarakani inafanya madudu ambayo wananchi wake wanapaswa kuingia barabarani na kutaka serikali iachie ngazi,,,,!
   
 2. Viol

  Viol JF-Expert Member

  #2
  Jul 14, 2012
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 18,982
  Likes Received: 1,088
  Trophy Points: 280
  [​IMG]
   
 3. M

  MR.LEO Senior Member

  #3
  Jul 14, 2012
  Joined: Jun 10, 2012
  Messages: 129
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kaka hako kamchoro kana maana gani?
   
 4. MKANKULE

  MKANKULE JF-Expert Member

  #4
  Jul 14, 2012
  Joined: Dec 8, 2011
  Messages: 422
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 35
  ni ukuali huo mchoro
   
 5. k

  kubenafrank Member

  #5
  Jul 14, 2012
  Joined: Aug 14, 2011
  Messages: 67
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tuna wabunge arobaini na nane tu nchi hii nao ni wabunge wote wa cdm.Hao wa ccm ni mavuvuzela wa mwenyekiti wao +mafisadi wengine.Usitegemee chochote kizuri toka kwa hawa wapiga kelele.Iko siku watatueleza kwanini wanachezea rasilimali zetu kwa kushindwa kuisimamia serikali yao vizuri
   
Loading...