Hivi Vyuo ambavyo havijatoa majina vina mpango gani?

zubery360

Senior Member
Apr 11, 2014
157
61
Muda unazidi kuyoyoma na majibu hayapatikani. Ukiingia TCU wamekuandikia Provisionally Selected, ukiingia kwenye webs zao bado hakuna kilichowekwa. Sasa mimi niliomba physically MUM na nikapata kwenye First Selection pia wakati huo vyuo nilivyoomba TCU havijatoa majina mpaka sasa... Sipendiiiiii
 
Subir kabla ya SAA 6 mchana Leo utakuwa umejua umepangiwa wapi. Kuwa mpole
 
Muda unazidi kuyoyoma na majibu hayapatikani. Ukiingia TCU wamekuandikia Provisionally Selected, ukiingia kwenye webs zao bado hakuna kilichowekwa. Sasa mimi niliomba physically MUM na nikapata kwenye First Selection pia wakati huo vyuo nilivyoomba TCU havijatoa majina mpaka sasa... Sipendiiiiii

Huenda havidahil mwaka huu
 
Back
Top Bottom