Hivi vyuma kukaza na kwa Wanasiasa pia vimekaza?

koyola

JF-Expert Member
May 20, 2015
2,645
1,747
Tuna malalamiko ya hali kuwa vyuma vimekaza kwa wafanyabiashara na wajasiliamali
Wenzetu watu wa siasa vip maana kazi ya kisiasa ni kujitolea haihitaji malipo serikali inatoa ruzuku nanyi malalama kwa wengine.....
 
Mkuu rekebisha heading twende Sawa, papara ya nn?
 
DRkutorXUAAxbmo.jpg
 
Wote mliochangia kwenye trend hii tunawatia pingu mkatuonyeshe hivyo vuma vilivyo kaza. Nyambafu kwani hamjamuelewa mkulu.
 
Back
Top Bottom