Sky Eclat JF-Expert Member Oct 17, 2012 57,597 215,267 Oct 23, 2021 Thread starter #21 Mlolongo said: Acha uongo... Hilo ni jiko Click to expand... Jiko haliwezi kuwekwa faragha hivi, hiki ni choo na ukiingia unapiga hodi. Ingekua jiko magunzi yangekuwa ndani.
Mlolongo said: Acha uongo... Hilo ni jiko Click to expand... Jiko haliwezi kuwekwa faragha hivi, hiki ni choo na ukiingia unapiga hodi. Ingekua jiko magunzi yangekuwa ndani.
Mkonowatembo JF-Expert Member Sep 25, 2016 1,074 974 Oct 23, 2021 #22 Mkiwa watu sita wiki tu yameisha maguzi
Vishu Mtata JF-Expert Member Dec 15, 2019 10,597 21,741 Oct 23, 2021 #23 Bulamba said: Hii itakuwa ni Tukuyu Click to expand... Tukuyu kuna maji ya kutosha mpaka yanaachwa yatililike yenyewe. Hakuna mambo ya mita kama huko mijini. Unatumia maji kwa tani yako mkuu. Kwa magunzi hayo hiyo sio tukuyu mkuu.
Bulamba said: Hii itakuwa ni Tukuyu Click to expand... Tukuyu kuna maji ya kutosha mpaka yanaachwa yatililike yenyewe. Hakuna mambo ya mita kama huko mijini. Unatumia maji kwa tani yako mkuu. Kwa magunzi hayo hiyo sio tukuyu mkuu.
wa stendi JF-Expert Member Jul 7, 2016 24,688 26,794 Oct 23, 2021 #25 Sky Eclat said: View attachment 1983894 Click to expand... Hiyo miti ya kutawazia au
Bulamba JF-Expert Member Sep 17, 2011 13,188 12,364 Oct 23, 2021 #26 Sawa.Sasa hayo magunzi hayawezi haribu marinda ya tgo?
Medecin JF-Expert Member Nov 29, 2011 7,892 21,293 Oct 23, 2021 #27 Naona hapo nje kuna biwi la tissue
SAGAI GALGANO JF-Expert Member Nov 13, 2009 43,707 60,753 Oct 23, 2021 #28 Sky Eclat said: View attachment 1983894 Click to expand... Chato hiyo