Hivi vyama vya wafanyakazi vya tanzania vimeenda likizo? Tucta

BINARY NO

JF-Expert Member
Dec 29, 2011
2,133
2,132
Umeme juu kwa 40% wapo kimya....gharama za maisha kwa watanzania juu bado kimya....mishahara kiduchu kwa wafanyakazi mnaishia kuongwa na serikali then kimyaaaa...sasa waTanzania wawaeleweje? kwanini msijifunze kwa wenzenu wa Afrika kusini na Nigeria jinsi wanavyosimamia mpaka serikali zao zinawaheshimu...huu sio muda kwa viongozi kwenda maofisini na kusaini ili mwisho wa mwezi mlipwe tena mara kumi zaidi ya wafanyakazi wenu wanaowachingia ili muwatetee......what is you are role then?
 
Viongozi wa vyama vya wafanyakazi wanalinda maslahi ya serikali. Si ajabu kuona wanateuliwa kuwa mawaziri!!
 
Viongozi wa vyama vya wafanyakazi wanalinda maslahi ya serikali. Si ajabu kuona wanateuliwa kuwa mawaziri!!
Kwa tz huwezi wote ni waoga na wanategemea siku moja waje wapate vyeo serikialini, Kenya wanakiongozi wa COTU-KENYA, Anaitwa Fransic Atwoli, huyu ni kiboko yao, hana masihala na maslahi ya wafanyakazi, na yupo wazi, na ndio maana hata wafanyakazi wa kenya wakiamua kugoma wanagoma kweli, hata kama wanachokitaka hawakipati chote ila japo robo tatu, wanapata. sio hapa mfano walimu wakikubaliana mgomo wao kwa wao wanasalitiana!!
 
Back
Top Bottom