YEHODAYA
JF-Expert Member
- Aug 9, 2015
- 36,902
- 51,992
Ninavyofahamu mawakili,madaktari,wahasibu,mainjinia huwa hawaruhusiwi kabisa kujitangaza wala kutangaza biashara zao kama marketing.
Najiuliza kuhusu chaguzi zao za vyama vyao je wagombea wanaruhusiwa kujinadi au kujiuza kwa wapiga kura kama machinga wanavyouza bidhaa zao kuwa chagua hii? Kama hairuhusiwi je wanaofanya hivyo wanaruhusiwa kugombea au wanakuwa wamepoteza sifa ya kugombea?