Wiwachu
JF-Expert Member
- Nov 13, 2018
- 809
- 923
Wakuu samahan hivi vpn inaweza kuboost speed ya internet maana huku tz net za mitandao mingi ziko slow kama mnavojua maana nyie sio wageni wa nchi hii, najua watu wengi wanatumia vpn kwa ajili ya kupata ku access net hasa baada ya tcra kufanya yao na wengine kwa ajili ya usalama yaani kuficha utambulisho wao na mahali walipo ila mi nauliza kama inaweza pia kusaidia kuongeza speed ya net hapa tz
Nimeuliza hivi kwa sababu hata leo hii kuna baadhi ya mitandao ya kijamii kama jf nikiingia bila vpn huwa inaload sana kwa mda mrefu bila mafanikio ila nikiconnect na vpn naona inafunguka haraka japo tcra walisha Fungua net
kuna baadhi ya vifurushi vya mitandao ya simu kama royal ya halotel ni vizuri vya unlimited data kwa mwezi na kwa hera kidogo tu ila vina speed ndogo sana sasa nikitaka kuvinunua na baadae niwe natumia vpn kwa ajili ya kuboost speed yake sjui mnasemaje wadau tudaidiane
Kama ipo ina itwaje naomba picha na jina lake hata link yake pia natanguliza shukrani za dhati karibuni kwa michango yenu