Hivi karibuni nimeanza sumbuliwa na VPN yangu, yaan na connect moderm vizuri na line yangu ila ikifika kuconnect VPN yenyewe inagoma.
Nataka kufaham tu kwamba hili tatizo ni langu tu au wote tunaotumia VPN na pia kama kuna solution ya kufanya iweze connect na kutumia internet as usual. Sababu nikiclick connect inaandika connecting tu ila haiconnect.
Need help plz!!