Hivi VPN inanisumbua peke yngu au vp jaman!!

Big Money

Senior Member
Oct 24, 2011
166
15
Hivi karibuni nimeanza sumbuliwa na VPN yangu, yaan na connect moderm vizuri na line yangu ila ikifika kuconnect VPN yenyewe inagoma.

Nataka kufaham tu kwamba hili tatizo ni langu tu au wote tunaotumia VPN na pia kama kuna solution ya kufanya iweze connect na kutumia internet as usual. Sababu nikiclick connect inaandika connecting tu ila haiconnect.

Need help plz!!
 
Learn how to ask question!
.
Search option ni kwajil ya vi2 hv, mbona hyo VPN imeongelewa sana na wewe unafungua thread mpya tena vp
.
Nakutania tu kaka
 
Dah ndugu yangu c o peke yako hata mm pia ila reseller wangu ameniambia nisubir sasa naona subira inanishinda

Jaribu saiv naona kwangu imekubali saiv connection bila hata kufanya lolote cjui kuna mtu kaniombea haha
 
  • Tujenge utaratibu wa kuwatumia Resellers wetu wa Voucher kupata ufumbuzi wa matatizo madogo madogo. Badala ya kufungua uzi mpya
  • Ok Nipigie 0768 92 48 41 au nitumie PM muda wowote nitakusaidia kutatua tatizo lako.
Fuatisha ushauri huu hapa juu Big Money muyahamisi
Hivi karibuni nimeanza sumbuliwa na VPN yangu, yaan na connect moderm vizuri na line yangu ila ikifika kuconnect VPN yenyewe inagoma.

Nataka kufaham tu kwamba hili tatizo ni langu tu au wote tunaotumia VPN na pia kama kuna solution ya kufanya iweze connect na kutumia internet as usual. Sababu nikiclick connect inaandika connecting tu ila haiconnect.

Need help plz!!
Dah ndugu yangu c o peke yako hata mm pia ila reseller wangu ameniambia nisubir sasa naona subira inanishinda
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom