Hivi viti ndio imekuwa fasheni mpya bar za mjini saivi

Deadbody

JF-Expert Member
May 30, 2015
4,276
6,584
Hapo ukijisahau ukaegemea unaanguka chini.

jpg.738089
 
Ama kweli circumference ya hivyo viti vinavutia sana.

Ukikutana navyo kwny bar hutoacha kuvikalia asilani.
 
Huyo akichora saba unakuwa kama unafanya MTIHANI WA UJIRANI MWEMA VILE
 
Back
Top Bottom