Jamaa huyu nimemkuta katika hali hii maeneo ya Meeda Club muda mfupi uliopita.
Yes off course. Jamii ya...Huyu hajanywa viroba. Kanywa KONYAGI!
Huyu hajanywa viroba. Kanywa KONYAGI!
Yes off course. Jamii ya...
La haulah! Kumbe we ndo ulikuwa pale pembeni! Kweli mtu kidole!Nope.......amekunywa Gordon's nilimuona........
Nope.......amekunywa Gordon's nilimuona........
Duh! Mchana wote huu!ungechukua yai umpasulie asirudie siku nyingine
ungechukua yai umpasulie asirudie siku nyingine
Yes off course. Jamii ya...
Jamaa huyu nimemkuta katika hali hii maeneo ya Meeda Club muda mfupi uliopita.