Hivi "viroba" bora vipigwe marufuku tu...

Mkeshaji

JF-Expert Member
Jan 7, 2011
4,262
1,415
Jamaa huyu nimemkuta katika hali hii maeneo ya Meeda Club muda mfupi uliopita.

934781_556588437717482_1501096353_n.jpg
 
Mbona sioni kiroba hapo. Huyu jamaa kafeli badala ya kumshusha Mr. konyagi mikono ye ndio kapigwa chini ..Lol
 
Mi nashangaa sana! watu wanapiga makele juu ya unywaji wa viroba wakati kila pombe ina madhara. Serikali isimamie MUDA, SIKU na MAHALI ZITAKAPOPATIKANA pombe za aina zote sio kupigia kelele viroba vinavyouzwa kila mahali kwa muda na siku yoyote.
 
Kunywa kupita kiasi ni hatari kwa afya yako

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Hizo ni raha,kuridhika,mawazo au ulimbukeni?!
Kuna starehe kweli hapo?

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Jamaa huyu nimemkuta katika hali hii maeneo ya Meeda Club muda mfupi uliopita.

934781_556588437717482_1501096353_n.jpg

naona BUKU 7 ya Lumumba imehusika hapo, hiyo kofia ya CCM inaonesha jamaa alitoka kuweka post mtandaoni then baada ya kuchukua chake pale lumumba kajikuta hapo!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom