Hivi viongozi wetu wanajisikiaje wakiona tunaogelea kwenye kinyesi katikati ya mji? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hivi viongozi wetu wanajisikiaje wakiona tunaogelea kwenye kinyesi katikati ya mji?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Ntemi Kazwile, Apr 14, 2011.

 1. Ntemi Kazwile

  Ntemi Kazwile JF-Expert Member

  #1
  Apr 14, 2011
  Joined: May 14, 2010
  Messages: 2,145
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Mvua zimenyesha, barabara zimefula na maji, vyoo vinatapishwa, tena katikati ya mji mkuu ambapo ikitokea dharura convoy ya Rais inabidi igeuzwe kuwa mitumbi ili kufika airport.

  Msimu wa mvua utaisha, utakuja mwingine.. tutaogelea tutakunywa vinyesi tutahara na kipindupindu .. utakuja mwingine mambo ndiyo hayo hayo... utakuja uchaguzi watatuibia kura na tutakubali yaishe....

  Hii ndiyo Tanzania bwana, kisiwa cha amani
   
 2. W

  WATANABE JF-Expert Member

  #2
  Apr 14, 2011
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 1,091
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 135
  Wakati hayo yakitokea Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali nasema Misamaha ya Kodi inatisha, na Serikali nzima imebobea kwenye wizi.
   
 3. Ntemi Kazwile

  Ntemi Kazwile JF-Expert Member

  #3
  Apr 14, 2011
  Joined: May 14, 2010
  Messages: 2,145
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Imefika wakati tulazimishe compliance... nasubiri CHADEMA waandae maandamano katika miji yote kupinga kero ya mitaro kujaa maji....... nitashiriki kwa nguvu zangu zote
   
 4. Ntemi Kazwile

  Ntemi Kazwile JF-Expert Member

  #4
  Apr 14, 2011
  Joined: May 14, 2010
  Messages: 2,145
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Napendekeza maandamano ya kupinga miji yetu kugeuzwa mabwawa ya kufugia samaki... kila msimu wa mvua unakuja na hakuna chochote watawala wetu wanafanya kutoondolea kero hii...

  Naomba kuwasilisha
   
Loading...