Hivi viongozi wetu huwa mnajisikiaje juu wananchi kukosa maji safi na salama tangu Nchi hii ipate uhuru?

Wakati mwingine tunapenda kuskiliza shida zenu kuliko kuzitatua, hiyo inatupa mda mzuri wa kuandaa cha kuongea wakati wa kampeni
 
Tatzo ni Wananchi wala sio viongozi. Wewe uhadiwe maji 1995 then arud 2000 bado aje tena 2005 kisha aje na upembuzi yakinifu 2010, 2015 akwambie mkandarasi ashapatikana muda sio mrefu atakuwa site. 2020 aje na swaga mpya wewe bado unampa kura tu hivi mwenye kosa hapo ni nani? Wananchi tujiongeze basi tujue sisi ndio wenye nchi
 
Tupo eneo la tukio Kona nne karibu na Maganga Bar leo, tunasubiri Kiongozi mkubwa kuzungumzia suala la maji katika Wilaya ya Mbogwe.
 
Back
Top Bottom