Chillah
JF-Expert Member
- Oct 12, 2016
- 8,281
- 8,826
kuna chuo cha afya morogoro nazani nacho ni cha wakatoliki... nacho kilipandisha ada hivi hivi... na wengine walipoteza shule... wenye kujua wataeleza zaidi....Kwanini serikali haiwasikilizi na wameonewaa kweli