hahaha "" sawa ....Daaahh swalehe akirithi akili zako ..ipo shida aiseeeNimwage unga
Acha uongo wanaofukuzagwa ni wengi weweAisee nshakujua
hata wewe ulifukuzwa ?!Acha uongo wanaofukuzagwa ni wengi wewe
hahaha "" sawa ....Daaahh swalehe akirithi akili zako ..ipo shida aiseee
Kanisa Katoli lenyewe ni Serikali....na serikali ilikwisha amua...Sasa tusubiri serikali itasemaje maana yalikuwa yanafanywa kimya kimya huko Chuoni
Wawaulize Wale Wasabato waligoma kufanya mtihani siku ya Jumamosi(SAUT)..nini kiliwakuta....Waende tu mahakamani kwa kweli ni uonevu mkubwa wa hawa waromani
Kiliwakuta niniWawaulize Wale Wasabato waligoma kufanya mtihani siku ya Jumamosi(SAUT)..nini kiliwakuta....
Nakusalimia kakaMamaeee hiyo inaitwa mwaga ugali " ................
.
Asante ""Mkuu ""... Salamu Zirejee Kwako Pia ....Nakusalimia kaka
Kwa hasa walisimamia wajibu wao kama viongozi, na hoja zao ni za msingi. Huwa nasikitika sana pale naposikia mwanachuo kafukuzwa kwa sababu ya kuendekeza siasa chuoni. Badala ya kusoma ama fanya mwanaharakatiWale waliofukuzwa chuo pale Bugando ambao ni Rais wa chuo na Waziri Mkuu wake; hivi wanalala kweli usiku? Maana wazazi wanavyohangaika kutafuta ada halafu unafukuzwa chuo, labda kama walikuwa ni wafanyakazi tayari au wamejipanga.
Ninavyojua matusi ya wazazi wa kibongo utasemwa mpaka basi yaani usiku unaota maluweluwe tu. Yaani ni kama mimi nikifanya kosa nikajua hapa nimekosea kweli huwa napata hofu. Ila bora hofu ya wewe na matatizo yako binafsi sio mpaka wazazi wajue.
Poleni nyie wanachuo najua mnatamani mrudishe masaa nyuma japo mlikiwa mnadai haki yenu ndio hivyo bongo hata maiti hana haki.
Soma pia:
Unyonyaji na unyanyasaji ndani ya chuo kikuu Bugando
Viongozi wa Serikali na Wanachuo wa Chuo Kikuu Bugando wafukuzwa Chuo
Wasabato zaidi ya 20 walitimuliwa....Wengine walirudi kuomba msamaha ila ndo hivyo(Roma locuta causa Finita)..Kiliwakuta nini
Kwanini roma wagumu kusameheWasabato zaidi ya 20 walitimuliwa....Wengine walirudi kuomba msamaha ila ndo hivyo(Roma locuta causa Finita)..
Kwanini roma wagumu kusamehe
hakuna ada elekezi toka TCU... kama kuna hiyo document tafadhari share ya ada elekezi... shukraniEndapo wazazi wakiwafokea itaonekana kuwa wanaunga mkono maamuzi ya Chuo.
Hao wanafunzi hawakujitakia, walikuwa wanadai/wanahoji haki zao.
Iweje mtu ulipishwe Ada kubwa kuliko ile ilekezi na TCU.