Hivi viongozi waliofukuzwa chuo Bugando wanalala kweli?

Ndio mapitio nadhani watakua bora kuliko hao waliwatangulia
 
Wanejitakia wenyewe...


Unaenda kufanya Mobilization ya kijinga kwenye tasisi ya Kanisa Katoliki...???

Hakujua kuwa kanisa halijaribiwa....Waende wakawe waganga wa kienyeji
 
Sasa tusubiri serikali itasemaje maana yalikuwa yanafanywa kimya kimya huko Chuoni
Kanisa Katoli lenyewe ni Serikali....na serikali ilikwisha amua...


Wawaulize Wasabato waliogoma kufanya mitihani Jumamosi kilichowapata ....
 
Wale waliofukuzwa chuo pale Bugando ambao ni Rais wa chuo na Waziri Mkuu wake; hivi wanalala kweli usiku? Maana wazazi wanavyohangaika kutafuta ada halafu unafukuzwa chuo, labda kama walikuwa ni wafanyakazi tayari au wamejipanga.

Ninavyojua matusi ya wazazi wa kibongo utasemwa mpaka basi yaani usiku unaota maluweluwe tu. Yaani ni kama mimi nikifanya kosa nikajua hapa nimekosea kweli huwa napata hofu. Ila bora hofu ya wewe na matatizo yako binafsi sio mpaka wazazi wajue.

Poleni nyie wanachuo najua mnatamani mrudishe masaa nyuma japo mlikiwa mnadai haki yenu ndio hivyo bongo hata maiti hana haki.

Soma pia:

Unyonyaji na unyanyasaji ndani ya chuo kikuu Bugando

Viongozi wa Serikali na Wanachuo wa Chuo Kikuu Bugando wafukuzwa Chuo
Kwa hasa walisimamia wajibu wao kama viongozi, na hoja zao ni za msingi. Huwa nasikitika sana pale naposikia mwanachuo kafukuzwa kwa sababu ya kuendekeza siasa chuoni. Badala ya kusoma ama fanya mwanaharakati
 
Yule wa Udom alishinda kesi nazani mwaka jana kama sio juzi alirudi chuo.
Saimon manyaki nae alikipiga K-yo IFM
Nahisi na hawa soon watapiga bingwa hapo
 
Endapo wazazi wakiwafokea itaonekana kuwa wanaunga mkono maamuzi ya Chuo.

Hao wanafunzi hawakujitakia, walikuwa wanadai/wanahoji haki zao.

Iweje mtu ulipishwe Ada kubwa kuliko ile ilekezi na TCU.
hakuna ada elekezi toka TCU... kama kuna hiyo document tafadhari share ya ada elekezi... shukrani
 
Back
Top Bottom